Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Muc...Unawapotosha waislam wenzako kuwa wanafelishwa kwa makusudi baada ya kuwahusia wasome kwa bidii waache kujifungia ndani kusoma elimu ahera kama hao mabinti
Huu ndiyo ustaarabu wa kujadiliana.
Watu wanashindanisha hoja.
Tatizo si kupeleka watoto shule.
Tatizo ni kuhujumiwa kwa wanafunzi hawa walioko shuleni.
Angalia mfano huo hapo chini:
''Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.
Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.
Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.
Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.
Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.
Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''
Annur Na.187- Feb.5-11, 1999
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma
USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999 Mohamed Said February 17, 2015 0 Annur Na.187- Feb....
Mahojiano na Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga 2012