Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Unawapotosha waislam wenzako kuwa wanafelishwa kwa makusudi baada ya kuwahusia wasome kwa bidii waache kujifungia ndani kusoma elimu ahera kama hao mabinti
Muc...
Huu ndiyo ustaarabu wa kujadiliana.
Watu wanashindanisha hoja.

Tatizo si kupeleka watoto shule.
Tatizo ni kuhujumiwa kwa wanafunzi hawa walioko shuleni.

Angalia mfano huo hapo chini:

''Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

Annur Na.187- Feb.5-11, 1999
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma

1707455762732.png

Mahojiano na Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga 2012​
 
We mzee mudi chenga sana
Kib...
Mimi nimetafiti haya mambo nayajua vizuri kabisa.
Haya si mambo ya mimi kufanya maskhara.

Hii ndiyo sababu niko hapa kwa jina langu halisi na sura yangu.
Sijajificha.

Nimefanya hivi ili ikiwa viongozi wetu watataka kujua ukweli ili haki itendeke isiwe tabu kwao kunipata kwa wepesi.
 
Uislamu ni ugaidi hao walikuwa wakifuzwa kujitoa muhanga.
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255

Ni vizuri tupate taarifa ya kilichokuwa kinaendelea
Hata hivyo hako ka nyumba kwenye picha ndiko kanaishi watu 200? au ulitaka kuandika 20 ukaongeza sifuri moja ili kuweka msisitizo? Umewahi kuona bweni la wafungwa la kulaza watu 150 tena wakusongana?
By the way hiyo ya mabikra ni kuwakosea watu heshima kwani uliwapima?
 
Ni vizuri tupate taarifa ya kilichokuwa kinaendelea
Hata hivyo hako ka nyumba kwenye picha ndiko kanaishi watu 200? au ulitaka kuandika 20 ukaongeza sifuri moja ili kuweka msisitizo?
By the way hiyo ya mabikra ni kuwakosea watu heshima kwani uliwapima?
Nyumba ni kubwa, ningeweka video hapa ila mb kubwa huwezi upload.
Mabikra wote wanaishi sehemu moja.
 
Muc...
Huu ndiyo ustaarabu wa kujadiliana.
Watu wanashindanisha hoja.

Tatizo si kupeleka watoto shule.
Tatizo ni kuhujumiwa kwa wanafunzi hawa walioko shuleni.

Angalia mfano huo hapo chini:

''Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

Annur Na.187- Feb.5-11, 1999
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma

View attachment 2898373
Mahojiano na Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga 2012​
Unaju mkugenzi wa necta ni nani?
 
Kib...
Mimi nimetafiti haya mambo nayajua vizuri kabisa.
Haya si mambo ya mimi kufanya maskhara.

Hii ndiyo sababu niko hapa kwa jina langu halisi na sura yangu.
Sijajificha.

Nimefanya hivi ili ikiwa viongozi wetu watataka kujua ukweli ili haki itendeke isiwe tabu kwao kunipata kwa wepesi.
Mkurugenzi wa Sasa wa necta ni dini gani?
 
kwa singida nmeona wanasema vpo vyuo vingi sana , kuna siku nlienda kutoa huduma hospital ya mkoa ya zaman nkapata mdada mzur sn nkamuomba namba akanpa ila aliniomba yang nkampa akawa ananipigia akipata muda , alinipa story kuwa wamechukuliwa wapo singida vichakani kbs na wanafundishwa ule msimamo mkali kbs wa dini na kisha wanaozeshwa kwa waislam wenzao kea idhini ya sheikh na sio mzazi
sasa mbona Jambo zuri hilo!
kupunguza kizazi Cha kina Paula na wema,au we wafikiri duniani wanawake wamekuja kudanga,kusagana na kutoa mimba?
 
Pili ajibu walitaka mitihani yasitumike majina zitumike Namba wanajuaje kuwa waislamu waliofeli idadi Yao wakati Namba ndio zinatumika sio majina?
yaani kumbe issue ya kutumia namba ilikuja baada ya ndugu zake huyu mzee kuomba wapendelewe wakiamini majina yakiwepo wanaonewa, lakini bado tu wanashika mkia. namwuliza kwani wasahihishaji ni wakristo peke yake, anashindwa kujibu ati kuna research, research against who? kwahiyo hiyo research ilionyesha mitihani walisahihisha waalimu wakristo peke yake wakawafelisha wanafunzi waislam au ni nini sasa?

au mnaonaje tuiombe serikali kwenye mitihani yao wawawekee 100% wote ila wengine wasio walalamishi wasahihishiwe kwa kawaida, waende sekondary nako waamue kufanya mtihani au hata kutofanya ila wapate marks 100%, form six na vyuo pia wasapitishe tu kwa kuwapa marks za bure ili waridhike.

siku zote nimeeleza, malalamiko kama haya wanayo hawa ndugu katika imani wa manzese na buguruni ambao mtoto akizaliwa anawaza madrassa tu ila elimu dunia anategemea apeleke kayumba, imeisha hiyo. wale ndugu katika imani wa masaki, mikocheni, mbezi beach n.k watoto wao hawana hayo mambo ya ajabu na wanafaulu mno. wewe mimi mtoto akizaliwa na kufika miaka 4 ninachowaza ni aende chekechea wakati Mohamed said anawaza aanze madrassa, muda ule anapoteza madrassa mimi wa kwangu anajifunza kusoma. wakija kuingia wote darasa la kwanza wa kwangu ameshazoea ana mumkari wa mambo ya shule wakati yule mwingine anawaza tu madrassa shule kidogo sana. unafikiri ukimweka darasa moja atamshinda mwanangu kweli? never, mfumo wa imani yenu sio friendly kwa elimu dunia, khapo ndipo mood alipobugi, na kwa hakika uislam halisi hauwezi kuikubali elimu dunia hasa ya wamagaribi, shida ni kwamba iliyopo ndio hiyo tu hakuna elimu ya waarabu, hawana, bure kabisa. imani sio friendly kwa elimu dunia wakati mnaishi kwa kutegemea elimu dunia. hata wale bokoharam ambao wanapinga elim ya magharibi, bunduki wanatumia iliyotengenezwa na mtu aliyesoma elimu ya magharibi, nguo wanavaa technolojia ya magharibi, simu wanazotumia kila kitu vinatokana na elimu dunia na hapohapo wao wanapinga elimu dunia, kama sio upumbavu ni nini hiyo sasa? dini gani hiyo?
 
Mwongo huyo Mzee hujamjua tu....ila anapaswa hata kuona Aibu kwa umri wake huo
hawa ni wale wanasubiri tu jua lizame waiache hii dunia, hawana faida yeyote hapa duniani zaidi ya kuchafua na kuvuruga.
 
Hizo ni hekaya za Abunuas.
Kumbe unamfahamu Abunuwas, Inasikitisha sana kwa kizazi cha leo cha vijana wa kitanzania, kwa kweli wanasafari ndefu, wakati wenzao wanapambana katika elimu na maarifa, kizazi chetu kimebaki kupambana katika kubet, na ujuaji wa kwenye mitando ya kijamii pasipo kutafuta uhakika wa taarifa na vyanzo vyake!
Ni ngumu sana kwa vijana wa namna hii kumwelewa Mzee wetu Mohamed Said! wtabaki kubishana bila kuwa na takwimu ya wanachoongelea, hivyo hata kama watapewa takwimu sahihi na Mzee Mohamed watabaki na akili zao za kutengenezea, kupandikizwa! Busara ni muhimu sana kuliko papara na ujuaji mwingi, na hiki kitu kinatuumiza sana watanzania na kupelekea kuwa nyuma na dunia hii
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
Nyinyi Watanzania walegezeeni tu Hawa Waislam. Watoto wa Kike waliobainishwa huko Dodoma wamevalia Kijuba kama huyu Binti kwenye Twitter. Oneni sasa huyu anachofundishwa ni kumchinja watu. Na hao wa Bagamoyo msishangae pia walikuwa wanapata mafundisho haya haya

View: https://x.com/ZafarHeretic/status/1755886014613053532?s=20
 
dodoma misikiti imechipuka ghafla sana na inafadhiliwa na watu wa nje

ifatiliwe sana
kuna tishio kubwa la kiusalama huko mbele

nb
dodoma ndio mji mkuu wa kiselikali
miundo mbinu yote iko pale maandalizi yankuingamiza nchi hapo ni uwekezJi kama huo kwa miaka mingi ijayo

tushtuke ile misikiti

dar ikulu imehama kuikwepa zanzibar lakin sasa naona adui anatuwahi hatua mbili zaid
Nawaambiaga watu humu sisi kama nchi tuko uchi sana yaan mtu akitaka kufanya jambo lake anafanya kirahisi sana utafikir hatuna vyombo vya ulinzi na Usalama.
 
Hawa wengi wao wanawatoa Kondoa .. Kuna maeneo kule watu hawajui chochote Cha Dunia zaidi ya Uislam.. hata wakiona mtu wa Dini nyinginewanadhangaa mno..
Kuna Mwalimu Mkristu alipangwa kufundisha huko alipata shida sana!
Alikuwa mwalim au mmessionary??
 
Back
Top Bottom