Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
✅yaani kumbe issue ya kutumia namba ilikuja baada ya ndugu zake huyu mzee kuomba wapendelewe wakiamini majina yakiwepo wanaonewa, lakini bado tu wanashika mkia. namwuliza kwani wasahihishaji ni wakristo peke yake, anashindwa kujibu ati kuna research, research against who? kwahiyo hiyo research ilionyesha mitihani walisahihisha waalimu wakristo peke yake wakawafelisha wanafunzi waislam au ni nini sasa?
au mnaonaje tuiombe serikali kwenye mitihani yao wawawekee 100% wote ila wengine wasio walalamishi wasahihishiwe kwa kawaida, waende sekondary nako waamue kufanya mtihani au hata kutofanya ila wapate marks 100%, form six na vyuo pia wasapitishe tu kwa kuwapa marks za bure ili waridhike.
siku zote nimeeleza, malalamiko kama haya wanayo hawa ndugu katika imani wa manzese na buguruni ambao mtoto akizaliwa anawaza madrassa tu ila elimu dunia anategemea apeleke kayumba, imeisha hiyo. wale ndugu katika imani wa masaki, mikocheni, mbezi beach n.k watoto wao hawana hayo mambo ya ajabu na wanafaulu mno. wewe mimi mtoto akizaliwa na kufika miaka 4 ninachowaza ni aende chekechea wakati Mohamed said anawaza aanze madrassa, muda ule anapoteza madrassa mimi wa kwangu anajifunza kusoma. wakija kuingia wote darasa la kwanza wa kwangu ameshazoea ana mumkari wa mambo ya shule wakati yule mwingine anawaza tu madrassa shule kidogo sana. unafikiri ukimweka darasa moja atamshinda mwanangu kweli? never, mfumo wa imani yenu sio friendly kwa elimu dunia, khapo ndipo mood alipobugi, na kwa hakika uislam halisi hauwezi kuikubali elimu dunia hasa ya wamagaribi, shida ni kwamba iliyopo ndio hiyo tu hakuna elimu ya waarabu, hawana, bure kabisa. imani sio friendly kwa elimu dunia wakati mnaishi kwa kutegemea elimu dunia. hata wale bokoharam ambao wanapinga elim ya magharibi, bunduki wanatumia iliyotengenezwa na mtu aliyesoma elimu ya magharibi, nguo wanavaa technolojia ya magharibi, simu wanazotumia kila kitu vinatokana na elimu dunia na hapohapo wao wanapinga elimu dunia, kama sio upumbavu ni nini hiyo sasa? dini gani hiyo?
Imani ni shambulio la akili