Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

Nimemwelewa vizuri sana Boss.Anazungumzia principle,kwamba jambo wanaloridhia wanafunzi wa kike si sawa kwa maana ya faida ya jamii kwa ujumla wake.Si sawa kutumia uma-chiavel (kufanya jambo baya ili upate jambo zuri).Kusema kwamba mbona walimu nao wanaomba ngono bado haihalalishi kosa.Tukitumia hiyo kanuni dunia hii haitakalika:

Kwani si kuna nyakati hatuna kitu mfukoni mpaka unachanganyikiwa,Je uibe? (kwa sababu njaa inahalalisha kosa)
Nikipata hamu ya ngono nimvamie binti ya jirani? (hisia za ngono zinahalalisha kosa)
Au nikitaka kazi nihonge (nia ya kupata kazi inahalalisha kosa).

Kimsingi huu mfumo wa kutojali ya wengine yanayotuathiri sote utatuangamiza.Kwamba kwa sababu mtu ni jambazi na kwamba ameona ni mfumo wa maisha unaomfaa tumuache kwa sababu ni mwelekeo aliouchagua.Si sawa lazima tuwakumbushe kwamba wanachokifanya si sawa (kwa mtazamo wa jamii pana) na hakuna sababu yeyote inayohalalisha hayo.Na pia tunaweza kuwaambia wanaosababisha hayo vilevile.Hakuna kosa "kubwa" linalohalalisha kosa "dogo"
 
imefikia mahala hadi wasichana wenyewe
ukiwasaidia for free wanakushangaaa

Sasa imekuwa bora elimu...

Ila mi nadhani ni suala mtambuka.. Kwa maana nimesoma posts zenu,mmekubaliana kwamba it is not about morals pekee...
Then it is the whole political system that make,settles all grounds for our living,shelter and sorts...
 
Huyo ni Jung kwenye "collective unconscious", that those traits are inheritable.

Noma ni kama tukitumia the same measure kuwa describe miafrika.lol!

Kwamba tunarithi ujinga?
 
Kwa mtoto wa kike aliesoma bongo hizi incidents za kutakwa, kufanyiwa visa, kukosa opportunities za shule na safari za kikazi zipo nyingi tu! Binafsi nimefanya kazi na boss na anakuambia wazi 'huwezi kusafiri nje manake ww ni jeuri!' Na unamjibu kiutani 'na hapa sijaonyesha nusu ya ujeuri wangu, omba mungu nisimalizie' halafu unamuacha hapo na $$ zake mambaf!! Ila ukijiuliza opportunities za kazi in other proffessional offices zipo, why cling on him?
Saa ingine unakuwaga na akili uki-switchoff ile jinsia ingine!
 

exactly....
 
It is all about MORALS! Nguruwe akizidiwa na njaa anakula kitoto alichozaa mwenyewe, binadamu hawezi kufanya hii, sivyo?
Rejea Bob Marley: would u let the system make u kill ur brother man, no dread no!
Yaani system inifanye mie nivue naniliu? I had a mate college alikuwa anasema ukiniona na lecturer ujue nimemtamani ila si kwa marks. Maskini mzanzibari wa watu alifeli kichwa chini miguu juu, ila namheshimu hadi leo!
Kwa maana nimesoma posts zenu,mmekubaliana kwamba it is not about morals pekee...
Then it is the whole political system that make,settles all grounds for our living,shelter and sorts...
 

Tatizo vijana wengi hawaamini kwamba unaweza kufeli chuo kimoja kwa mizengwe unaja kufanya maajabu kwenye college nyingine. Nina mifano mingi ya jamaa ambao walifeli (Disco) mahali pamoja na walipoenda sehemu nyingine wakaibuka ma-stars...Wengine ni wameshapata PhDs na baadhi wamefikia kuwa professors !!
 


Good Mwali...sijui kwa nini nimeconcentrate zaidi hapo bold, nadhani ndo pamebeba ujumbe mzima....:A S-coffee:
 

hakuna anaepinga genuine relationship zikitokea
tunachopinga ni uonevu na rushwa
 
Sasa hizi ndo thread The Boss ukianzisha, JF inakuwa na thamani sana, si zile za Infi.....lol

Tatizo la kutumia uchi kupata matokeo fulani ni kubwa na la hatari sana kwa jamii ya kitanzania. Vyuoni tumesoma na wenye tabia kama hizo, wakawa wa kwanza kupata kazi kwa tabia zinazofanana na hizo na wengi sasa ni wake za watu na mama wenye familia. Kila mara ninapokutana na baadhi ya mashosti waliokuwa na tabia hizo chuo,ndio wa kwanza kukupa contacts za ma_HR na ma-Boss wa taasisi kubwa kubwa na pengine kukutanisha nao.....maboss wakikutaka wanakuuliza, ukiwapa wanaondoka nacho? ukiwaambia hivi mnajua kuna ukimwi,wanakuuliza hivi boyfriend wako hawezi kukupa ukimwi?

:focus: Kutumia uchi kupata matokeo mazuri kunapunguza uwezo wa kufikiri na kunaondoa ile hali ya kutaka kufanikiwa kwa juhudi zako.....wanawake wanakuwa wepesi mno wakishaanza hii tabia. Elimu inaweza kuwa na faida kama umeipata kwa njia chafu kama utakuwa na hekima ya kujua uchafu uliofanya na kujirekebisha na kumuomba Mungu akusaidie usirudie tena kutumia mwili wako vibaya.

NB: Ni swali tu? Wale wanaoheshimu infii,wengi wao ni wasomi? hivi elimu imewasaidia kweli?? Tusiangalie upande wa kinadada tu,hata kinababa wanaona hakuna maisha bila infii wao je??
 

sijui nongeze nini hapa?....lol
nice aisee...
 

so it's moral decay then King'asti...
 
Umeanza kukwepa maswali The Boss, leo charge haitaisha...lol

Sema tu kuhusu Infii na elimu ya kinababa....lol

niseme tu kwanza i am so proud of you
una represent vizuri as mrs boss....
unanifurahisha.....

pili kuhusu ile thread ya nyumba ndogo katazame vizuri utagundua ilikuwa nyerere day siku ile
si ilikuwa a gift ya kuwachangamsha watu....shauri yake alie take serious lol
 
Comment ya ukweli juu ya colleugues wako... It's quite open...@ Michelle
 

Kwa mara ya kwanza.....The Boss is proud her Mrs....I can not believe this....!

I am so so proud of you too, zaidi baada ya kusema ile thread ya nyumba ndogo ilikuwa ya kuchangamsha tu Nyerere Day,coz everything else about you is great....that thread ilikuwa inaninyima raha na kujiamini kabisaa.....lol 😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…