Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

Kwa mara ya kwanza.....The Boss is proud her Mrs....I can not believe this....!

I am so so proud of you too, zaidi baada ya kusema ile thread ya nyumba ndogo ilikuwa ya kuchangamsha tu Nyerere Day,coz everything else about you is great....that thread ilikuwa inaninyima raha na kujiamini kabisaa.....lol 😛oa

sasa jiachie kwa kujiamini ..lol
 
Umeanza kukwepa maswali The Boss, leo charge haitaisha...lol

Sema tu kuhusu Infii na elimu ya kinababa....lol

Naomba tu labda nikujibu kidogo dada,

Kuna watu ambao ni wadau wa infi kwa kuishiriki na kuiabudu...ila kuna wale ambao tunajua kuwa infi ni jambo baya sana lakini linatendeka kwa wingi katika jamii. Na mbaya zaidi, washiriki wengine ni marafiki na ndugu zetu...Na kwa hiyo wakati mwingine tunahitaji kuwasaidia wasiangamie!

Je, wote wana dhambi ya infi??

Ile mada ya The Boss niliichukulia kwa upande wa pili kama vile tunavyosema kuwa 1) zinaa ni mbaya, so iepuke kwa nguvu zote, 2) ukiendekeza zinaa unaweza kupata HIV/AIDS ...avoid if you can ila pia tunasemea 3) kama umeshindwa basi tumia kondom!!

Tukuwashauri watu kutumia namba 3 tunabeba dhambi zao??

Babu DC!!!
 
Asante kwa ufafanuzi Babu DC, nimekusoma na kukuelewa vizuri....sidhani kama mnabeba dhambi zao kwa kuwashauri kutumia namba 3,mnawasaidia walioshindwa na tamaa za miili yao kujilinda na kuwalinda wale wawapendao na kuwathamini.
 
Naomba tu labda nikujibu kidogo dada,

Kuna watu ambao ni wadau wa infi kwa kuishiriki na kuiabudu...ila kuna wale ambao tunajua kuwa infi ni jambo baya sana lakini linatendeka kwa wingi katika jamii. Na mbaya zaidi, washiriki wengine ni marafiki na ndugu zetu...Na kwa hiyo wakati mwingine tunahitaji kuwasaidia wasiangamie!

Je, wote wana dhambi ya infi??

Ile mada ya The Boss niliichukulia kwa upande wa pili kama vile tunavyosema kuwa 1) zinaa ni mbaya, so iepuke kwa nguvu zote, 2) ukiendekeza zinaa unaweza kupata HIV/AIDS ...avoid if you can ila pia tunasemea 3) kama umeshindwa basi tumia kondom!!

Tukuwashauri watu kutumia namba 3 tunabeba dhambi zao??

Babu DC!!!

you couldn't explain it better
thanx
 
The Boss, hili suala liangaliwe pande zote. Mimi kama mwanamke ninasoma kwa jitihada zangu basi nitajitahidi nifanikishe kilichonipeleka chuoni. Walimu wengine wa kiume wanaonea au kukomoa wanafunzi ilimradi wawapate kimapenzi na vile vile kuna wanwake wengine wakiona hamna jinsi basi watachojoa ili mradi wapate wanachotaka huku ikimaanisha na walimu nao wameridhia kamchezo. Kwa hiyo mfumo mzima wa elimu sana sana ya juu umeingiliwa na pepo la ngono.

Angalia walimu wengi wa chuoni tena wanaume waliooa wanafunzi wao, sababu kubwa ni katika kuwasaidia hao wanafunzi kimasomo au kuwatoa sup ndiyo ikaishia kwa mapenzi. ila siyo natural kuwa watu wameclick tu kwa kuonana!
 
hata kama si ujinga moja kwa moja
kuna kitu tunarithi

kama walikuwa wajinga generation inayofuata itakuwa makanjanja

hapa kuna effect ya tunayorithi pamoja na mwingiliano wa tamaduni.

Mfano: nimekulia Tz na system zetu za urasimu na kupiga deal hadi namaliza degree ya kwanza

naenda kusoma nje na kufanya kule kazi, say miaka mitano. Nakuwa a bit polished na system za kazi za huko na moyo wa kujituma na kujaribi simamia haki

narudi Tz naajiriwa na serikali
miaka 3 ya mwanzo nakemea madeal pale ofisini

he he he, baada ya miaka 5, professional kanjanja sababu na elimu si ipo lakini mshahara mdogo hautoshi familia

so its true
Huyo ni Jung kwenye "collective unconscious", that those traits are inheritable.

Noma ni kama tukitumia the same measure kuwa describe miafrika.lol!

Kwamba tunarithi ujinga?
 
hata kama si ujinga moja kwa moja
kuna kitu tunarithi

kama walikuwa wajinga generation inayofuata itakuwa makanjanja

hapa kuna effect ya tunayorithi pamoja na mwingiliano wa tamaduni.

Mfano: nimekulia Tz na system zetu za urasimu na kupiga deal hadi namaliza degree ya kwanza

naenda kusoma nje na kufanya kule kazi, say miaka mitano. Nakuwa a bit polished na system za kazi za huko na moyo wa kujituma na kujaribi simamia haki

narudi Tz naajiriwa na serikali
miaka 3 ya mwanzo nakemea madeal pale ofisini

he he he, baada ya miaka 5, professional kanjanja sababu na elimu si ipo lakini mshahara mdogo hautoshi familia

so its true
Kwa minajili hii Tanzania haitabadilika kamwe,sitaki kuelekea kuamini kuwa "Miafrika ndivyo tulivyo"lol

Back to the point, kama unakubaliana na Jung, basi lazima unakubaliana kuwa binadamu tunarithi ujinga, ufisadi, ufusaka, wizi nk.

Sasa ukisharithi vinaweza kuondolewa/kuondoka? And if so how? Nani anaweza kutibu taifa zima?

Thats another question, kazi kweli kweli.
 
Topic hii ni nzuri, inaweza kutumika kuelimishana, ngoja nkapate dinner kwanza nrudi.
 
Faida ipo. . . ikiwa atajifunza kitu kweli maana hamna atakapoandikwa aliipata vipi useme waajiri wakiona CV yake watamnyima kazi.

Tatizo ni kama atajiskia amani au la, kama ataweza kuendelea huko mbele kwa juhudi binafsi au kila mara atataka urahisi.

Ndio zako nini?

Hivi mmekuwaje? Ni mbuzi ndio huwa hachagui mbegu za nani za kuingia mwilini mwake, lkn siku hizi hata binadamu kama poppy, loh! Yaani huna hata haya unasema kuna faida?!!!

Ukimwi ndio faida.
 
kuna kitu kwenye marketing reasearch
kinaitwa causality theory/effect

unajaribu kupima kitu fulani kimesababisha na nini.
Mfano ubuyu huu umenunuliwa baada ya promotion? Baada ya labda brabding? And the like

sasa unaweza amua kufanya lab experment ambapo factors zingine zote unazifanya constant unapima effect ya kitu kimoja tu in isolation.

Lakini katika maisha ya kawaida hakuna kitu kinakuwa katika isolation. Its a real world kila kitu ni kina effect.

Hii ya unconsious ...
Kuwa inherited upo
ila kuna vitu vingine vinavyosaidia kupunguza ujinga kama elimu, na mwingiano wa tamaduni za kufanya kazi.
Hizo zote kwa pamoja zinafanya ujinga upungue
lakini ukiangalia rate ya kupungua ujinga huo kwa nchi za africa ukoje?
Ni mdogo

angalizo kwa wasiasa msitoke povu
mfano mdogo tu ujinga katika siasa za Tz na unafanywa na wasomi na wametembea duniani
lakini effect ya miafrika ndo ilivyo unaona ilivyokubwa katika maamuzi ya msingi za nchi???
Hushangai na mielimu yao na exposure yote bado tunaomba msaada wa mahindi Yemen wakati tuna resources zote muhimu???

Na miafrika mipiga kura inabung'aa??

Its counts japo na factors zingine zina counter effects zake

Kwa minajili hii Tanzania haitabadilika kamwe,sitaki kuelekea kuamini kuwa "Miafrika ndivyo tulivyo"lol

Back to the point, kama unakubaliana na Jung, basi lazima unakubaliana kuwa binadamu tunarithi ujinga, ufisadi, ufusaka, wizi nk.

Kazi kweli kweli.
 
Kwa minajili hii Tanzania haitabadilika kamwe,sitaki kuelekea kuamini kuwa "Miafrika ndivyo tulivyo"lol

Back to the point, kama unakubaliana na Jung, basi lazima unakubaliana kuwa binadamu tunarithi ujinga, ufisadi, ufusaka, wizi nk.

Sasa ukisharithi vinaweza kuondolewa/kuondoka? And if so how? Nani anaweza kutibu taifa zima?

Thats another question, kazi kweli kweli.

Kaka huwezi kurithi hivyo vitu labda kama control yake ni genetic...

Tabia nyingi tunaonekana kama tunazirithi lakini ukweli ni kuwa tunajifunza kutokana na exposure ya muda mrefu wakati wa makuzi. Ndiyo maana tukitoka pale tulipokulia tunakuwa na nafasi ya kubadilika!! Kama ingekuwa genetic...basi tungekuwa kama tumelaaniwa vile...You can not change your genetic make up...!!

Babu DC
 
watu hupenda tu kusema kuwa tabia fulani ni za kawaida hasa kwenye shida
wakati sio kweli.....
nimetoa mfano wa wajapan wakati wa tsunami.....
walikuwa so disciplined hadi dunia nzima imeshangaa...
hakuna kugombea vyakula vya misaada wala kuvunja maduka wala kulia na
kulalamika ovyo ovyo......hata wakipelewa misaada walikuwa wako kwenye mistari na so calm.....

wakati tuliona katrina marekani,na mafuriko Haiti yalivyoonesha tabia za watu wa huko
 
Back
Top Bottom