kuna kitu kwenye marketing reasearch
kinaitwa causality theory/effect
unajaribu kupima kitu fulani kimesababisha na nini.
Mfano ubuyu huu umenunuliwa baada ya promotion? Baada ya labda brabding? And the like
sasa unaweza amua kufanya lab experment ambapo factors zingine zote unazifanya constant unapima effect ya kitu kimoja tu in isolation.
Lakini katika maisha ya kawaida hakuna kitu kinakuwa katika isolation. Its a real world kila kitu ni kina effect.
Hii ya unconsious ...
Kuwa inherited upo
ila kuna vitu vingine vinavyosaidia kupunguza ujinga kama elimu, na mwingiano wa tamaduni za kufanya kazi.
Hizo zote kwa pamoja zinafanya ujinga upungue
lakini ukiangalia rate ya kupungua ujinga huo kwa nchi za africa ukoje?
Ni mdogo
angalizo kwa wasiasa msitoke povu
mfano mdogo tu ujinga katika siasa za Tz na unafanywa na wasomi na wametembea duniani
lakini effect ya miafrika ndo ilivyo unaona ilivyokubwa katika maamuzi ya msingi za nchi???
Hushangai na mielimu yao na exposure yote bado tunaomba msaada wa mahindi Yemen wakati tuna resources zote muhimu???
Na miafrika mipiga kura inabung'aa??
Its counts japo na factors zingine zina counter effects zake
Kwa minajili hii Tanzania haitabadilika kamwe,sitaki kuelekea kuamini kuwa "Miafrika ndivyo tulivyo"lol
Back to the point, kama unakubaliana na Jung, basi lazima unakubaliana kuwa binadamu tunarithi ujinga, ufisadi, ufusaka, wizi nk.
Kazi kweli kweli.