Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

Nchi nyingi zilizofanya mapinduzi na kupiga hatua ziliunganishwa na umasikini, unyanyasaji na ufisadi, what else do we need?

Matatizo haya yote yanatokana na hayo matatu hapo juu.

Leo nasikia kuna maandamano ya wanaharakati, lets see how much it will unite the country.
 
Nakubaliana na wewe
matatizo yanaweza kuwa mojawapo ya kiunganishi
lakini je tuko tayari kuunganishwa?
Tuko tayari kuona beyond dini, kabila na tofauti zingine?

Ili kuungana lazima tuwe na uelewa wa kusimamia tunachokiamini.
Tuna uelewa huo?

Hao walioandamana utashangaa kuna watakaowapinga kwa nguvu zote.

Nadhani tu-invest katika kuelimisha jamii zaidi kujitambua na kuweza kusimamia inachokiamini.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…