Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Nimekuelewa ila ningependa pia uelewe nilicho sema: it is easy for you to say that.nafikiri tunakubaliana kitu hapa
unaweza kuona kama namlaumu huyo dada but kiukweli
nailaumu society in general
ndo maana nikaleta mfano wa mama wa kihindi.....
yaani sisi kama society tukubali 'kukosa' tunavyo vipenda
kama sio kwa njia halali....umeelewa?
Itapendeza sana kama watu watabadilika sababu SIO VIZURI KUTOA RUSHWA YA NGONO.
Ila dunia hii mtu hawezi kuacha njia fupi tena rahisi just because SIO VIZURI.
Kwa hiyo tunaweza kulalamika hapa, na naweza kukuunga mkono but it won't change a thing.
Sio rahisi kwa mtu kukubali kukosa anacho kitakaka just because sio halali (and you know it).
Watakubali kukikosa ikiwa it is illegal and law and order is applied kila wavukapo mipaka.
Watakubali kikukosa ikiwa there is a strong repressive system katika organisation nzima, na mtu akijua atafutwa etc.
Ila hiyo ya kusema tu sio halali kwa hiyo tuache, sioni kama itasaidia chochote.