mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nenda vyuoni IFM, CBE, TIA ukikuta binti ana futi 6 niite nikupe milioni. UDSM ukikuta futi sita ujue ni foreign student toka Rwanda, Uganda au Sudan.
Uko uswazi, Buguruni, Temeke, Tandale ndio funga kazi, futi 5 kamili mwisho.
Mbegu zinaharibika, tatizo nini?
Asili ya mtanzania sio ufupi, kama ni viporo nama zetu wamevila mimi nahisi ni ukosefu wa lishe, dawa za kuzuia mimba, uzazi wa mpango, zinadumaza hawa mabinti, serikali ifanye utafiti.
Kwa sisi wanaume mbona hali sio mbaya.
Tunapoelekea majeshi yetu yatakosa wanawake, huwezi kuwa na askari futi nne.