Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Mabinti wanakunywa chai na kiporo miaka nenda rudi unataka wawe warefu!
 
Mimi nilipita IFM kupata lunch canteen kwao hata sikuelewa nini kinaendelea nchi hii,ndo maana Magufuli aliwajaza wanyarwanda pale gogo ili kufanya mchanyato sijui kuna nini,ila hizi tozo zinachangia stress
 
ni kweli kwa hapa kwetu wanawake ni wafupi.

ila ukienda Iceland utajikuta ukiwa ni mfupi kwa wanawake wa kule.

Mbona hukisema ni kwa nini wanaume wa East Africa ni wafupi tofauti na West Africa?

kinature mwanaume ni mrefu kuliko mwanamke.
 
Sio wanawake tu, wote hata wanaume wa bongo wengi ni wafupi. Hiki kizazi kina mbegu mbaya sana ya KATUMAN haikui. Nilishangaa nilipoenda bongo last year mbona watu wafupi sana halafu weusi balaa. Pale JKNIA nilijiona niko kwenye giza kumbe ni weusi wa watu halafu wafupi balaa teehteehteeh.
 
Wewe unataka mwanamke mrefu umupeleke wapi??au unataka kuanzisha timu ya mpira ya wanawake cocha amekwambia wachezaji wanao hitajika wanatakiwa wawe warefu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…