Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Jaribu kuficha ujinga wako bro, sio lazima kila kila kinachokuja kichwani kwako ukiseme, urefu unasaidia nini kwenye hii dunia? Kwenye nyqnja zote, sayansi, ajira, viwanda, uvumbuzi, nk,
Wakorea waliokutengenezea samsung ni warefu kama Watusi? Wa Hindi waliokutengenezea TATA, Mahindra nk, ni warefu kama wasudani kusini?
Eron musk ni mrefu kuliko Hashim thabit?kampuni yake yq tweeter ina mapato makubwa kuriko mapato yote yq nchi hamsini za Africa!
Wachina wanaowajengea kila kitu, ni warefu?
Kwa u bongo unatakq Uwe mrefu uvutie madem, na kuwa na pipe kubwa basi,
African race ni dini na ngono basi, na kula bata
Unajiona Umeongea point kumbe uharo mtupu! Sasa hao wafupi wa IFM mbona hawana akili kama wa Korea?
 
Data zako zipo bounded rational

inawezakana ukawa umebase mkoa mmoja wa Dasalama
Chuo kama UDSM na nilivyovitaja vinachukua wanafunzi all over the country,so the sample space ilikuwa sawia kabisa,kila kabila lipo vyuoni
 
Nenda vyuoni IFM, CBE, TIA ukikuta binti ana futi 6 niite nikupe milioni. UDSM ukikuta futi sita ujue ni foreign student toka Rwanda, Uganda au Sudan.

Uko uswazi, Buguruni, Temeke, Tandale ndio funga kazi, futi 5 kamili mwisho.

Mbegu zinaharibika, tatizo nini?

Asili ya mtanzania sio ufupi, kama ni viporo nama zetu wamevila mimi nahisi ni ukosefu wa lishe, dawa za kuzuia mimba, uzazi wa mpango, zinadumaza hawa mabinti, serikali ifanye utafiti.

Kwa sisi wanaume mbona hali sio mbaya.

Tunapoelekea majeshi yetu yatakosa wanawake, huwezi kuwa na askari futi nne.
Hao vijana bado wanakua, nowdays, wanafunzi wa vyuo wanajiunga wakiwa bado wadogo sana compared na miaka ya nyuma.

Sishangai ukiona ni wadogo/ wafupi kwakuwa ni kweli bado ni wadogo hata kiumri
 
Back
Top Bottom