Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Asili Ya mtanzania sio ufupi,kuna tatizo la lishe,limeathiri miilo na ubongo wa kizazi hiki,hata hawa chawa nina wasi wasi nao ni matokeo ya kukosa kishe utotoni
Watoto wa sikuhizi hawali lishe nzuri,hasa maziwa fresh ya kutosja,cheki jamii za wafugaji wanaokunywa maziwa na nyama na damu walivyo warefu.
 
Unajiona Umeongea point kumbe uharo mtupu! Sasa hao wafupi wa IFM mbona hawana akili kama wa Korea?
 
Data zako zipo bounded rational

inawezakana ukawa umebase mkoa mmoja wa Dasalama
Chuo kama UDSM na nilivyovitaja vinachukua wanafunzi all over the country,so the sample space ilikuwa sawia kabisa,kila kabila lipo vyuoni
 
Hao vijana bado wanakua, nowdays, wanafunzi wa vyuo wanajiunga wakiwa bado wadogo sana compared na miaka ya nyuma.

Sishangai ukiona ni wadogo/ wafupi kwakuwa ni kweli bado ni wadogo hata kiumri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…