kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 126
- 9
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.
oraiti, 15 mins sio issue,
ila kama na wewe hiyo mashine yako ina 4 wheel, haina tabu!
Lakini kama ndo inavalishwa dabali tu, hamna kitu hapo!
si anakupa raha au inakuwa karaha?
hahaa,eti 4wd,itabidi nikatafute spea germany
Ukiona hivyo unaaproach kwa mbwembwe. Kujifanya pedeshee, gari la kuazima, kila dakika kujifanya unaulizia mizigo bandari, mara ooh nyumba yako masaki sijui imefanyaje, mara juzi umemkopesha mtu milioni mia....
Lazima nidai mainvoice tena na debit note juu.
hujambo bidada?
kudai invoice si mbaya, ni haki yako ya kimsingi kabisa,
ila hata kutoa huduma linganishi na hiyo gharama pia ni wajibu wako mama!!!!
aka! Nikishapewa invoince nasepa zangu taratiibu.
oraiti, 15 mins sio issue,
ila kama na wewe hiyo mashine yako ina 4 wheel, haina tabu!
lakini kama ndo inavalishwa dabali tu, hamna kitu hapo!
Kabla hujapewa fungu lazima mzigo ukaguliwe kama upo ovyo ovyo hiyo Invoice inabaki pending
sasa kama ni dk.15 tu wewe upo orait sisi wengine ambao huwa tunaunganisha juu kwa juu bila ya kuvuta pumnzi yaani kama umeweka mp3 mpaka nyimbo zote zinaisha ndo unavuta pumnzi.
yuuu wengine wakopaji lipa kwanza upate huduma mi sinkopeshi mtu changu malipo kwanza huduma inafuata
yuuu wengine wakopaji lipa kwanza upate huduma mi sinkopeshi mtu changu malipo kwanza huduma inafuata
kweli kabisa,hawakawii kukurusha. Bora uweke chako kibindoni mapemaaa
uwiii,sasa hiyo mbona kali. Wewe utafaidi peke yako mwenzio akitoka hapo break ya kwanza gerezani kuchomelea machine yake!
yuuu wengine wakopaji lipa kwanza upate huduma mi sinkopeshi mtu changu malipo kwanza huduma inafuata
Kabla hujapewa fungu lazima mzigo ukaguliwe kama upo ovyo ovyo hiyo Invoice inabaki pending
atakurusha tu,
kama anakuona na wewe umekaa kimiyeyusho,
Na joto la Dar unakuta mrembo kapiga dabali utafikiri anaenda kuchapwa viboko
makaguzi b'dae. Halafu mzigo ukinunuliwa haurudishwi.