wasichana wanabore sana

wasichana wanabore sana

Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.

Ndio zao,ila inategemea umemuhitaji kibiashara au permanent?
 
oraiti, 15 mins sio issue,
ila kama na wewe hiyo mashine yako ina 4 wheel, haina tabu!
Lakini kama ndo inavalishwa dabali tu, hamna kitu hapo!

hahaa,eti 4wd,itabidi nikatafute spea germany
 
Ukiona hivyo unaaproach kwa mbwembwe. Kujifanya pedeshee, gari la kuazima, kila dakika kujifanya unaulizia mizigo bandari, mara ooh nyumba yako masaki sijui imefanyaje, mara juzi umemkopesha mtu milioni mia....
Lazima nidai mainvoice tena na debit note juu.
 
hujambo bidada?
kudai invoice si mbaya, ni haki yako ya kimsingi kabisa,
ila hata kutoa huduma linganishi na hiyo gharama pia ni wajibu wako mama!!!!
 
hujambo bidada?
kudai invoice si mbaya, ni haki yako ya kimsingi kabisa,
ila hata kutoa huduma linganishi na hiyo gharama pia ni wajibu wako mama!!!!

aka! Nikishapewa invoince nasepa zangu taratiibu.
 
oraiti, 15 mins sio issue,
ila kama na wewe hiyo mashine yako ina 4 wheel, haina tabu!
lakini kama ndo inavalishwa dabali tu, hamna kitu hapo!

Sasa kama ni Dk.15 tu wewe upo Orait sisi wengine ambao huwa tunaunganisha juu kwa juu bila ya kuvuta pumnzi yaani kama umeweka MP3 mpaka nyimbo zote zinaisha ndo unavuta pumnzi.
 
Kabla hujapewa fungu lazima mzigo ukaguliwe kama upo ovyo ovyo hiyo Invoice inabaki pending

yuuu wengine wakopaji lipa kwanza upate huduma mi sinkopeshi mtu changu malipo kwanza huduma inafuata
 
sasa kama ni dk.15 tu wewe upo orait sisi wengine ambao huwa tunaunganisha juu kwa juu bila ya kuvuta pumnzi yaani kama umeweka mp3 mpaka nyimbo zote zinaisha ndo unavuta pumnzi.

uwiii,sasa hiyo mbona kali. Wewe utafaidi peke yako mwenzio akitoka hapo break ya kwanza gerezani kuchomelea machine yake!
 
yuuu wengine wakopaji lipa kwanza upate huduma mi sinkopeshi mtu changu malipo kwanza huduma inafuata

kweli kabisa,hawakawii kukurusha. Bora uweke chako kibindoni mapemaaa
 
uwiii,sasa hiyo mbona kali. Wewe utafaidi peke yako mwenzio akitoka hapo break ya kwanza gerezani kuchomelea machine yake!

Yaaani nakata kiu kabisa unasahau kama wiki 2 hivi ukikumbuka siku hiyo unajiandaa kabisa
 
yuuu wengine wakopaji lipa kwanza upate huduma mi sinkopeshi mtu changu malipo kwanza huduma inafuata

Kuna jamaa angu huyo akikupa pesa mbele lazima akuibie usiku ukilala na anakuibia na cmu na visenti vyako wewe si unatamaa na pesa anakumoesha sasa mzigo kala na kakuibia
 
Na joto la Dar unakuta mrembo kapiga dabali utafikiri anaenda kuchapwa viboko

Jamani kwanza nakupongeza kwa huduma nzuri ya usafiri unayotoa huko kijijini,kweli maendeleo imekuwa ndoto ya wengi wanakufa bila kuyaona.

Sasa eti nisaidia DABALI ni nini???
Natanguliza shukrani.................
 
Back
Top Bottom