Nafurai wadada wame-comment vizuri...........
1.Kama tunavyojua mwanaume akiwa anataka..............atasema lolote,sasa kuna kaka zangu wana ji-market sana,mara mimi vile mara mimi hivi,unamjengea mtu picha fulani,ndo maana hata hajakukujua jina la pili ashaleta invoice.
2.Saa nyingine wanawake hufanya hivyo just to get a man out of her life,get rid of you......hakutaki na anajua huwezi mpa hilo analotaka au utaumia ukiamua kulipa,but anafanya ili umuache.
3.Wanaume muwe mnaangalia na wadada mnaowatongoza,mapenzi si hela but lets be honest,kuna mtu si standard yako.....nilishasema tena,unakuta wewe what you can afford ni kumpeleka mdada b-bar,sijui kwa mangi kunywa pia.........dada kazoea kula marrybrown,shopping kila weekend,wewe na ka-mshahara kako ka laki nne huyo unamtaka,waga mnaonekana vituko unless dada nae anakutaka.....:car::car: