wasichana wanabore sana

wasichana wanabore sana

Aah,na nyie huwa mnazidi bwana wacha mchunwe tu. Sasa ww unamtongoza msichana kwa mbwembwe unategemea nn! Wengine mpaka mnaazima na magari ya watu ili uonekane unazo! Sasa yote hayo ya nn! Acheni kujikwezaaaaa
 
Unajua pale ni winga nzuri la timing foleni ubungo

Yule mhudumu bonge anahudumia vizuri hata kupangusa meza anafanya vizuri sana.

unaona sasa,
hebu waambie hawa wakina Michelle na Maty,
huduma ndo inayokimbiliwa hapa!!!!!!!
 
Yaani hata ya kubip huwezi mpa? Unaweza ukawa na miahadi nae sasa akifika mawasiliano si unajua muhimu lazima umtumie kidogo ka vocha mm huwa sizidishi saidi ya 400/= najua kubip na kutuma sms inatosha. Ila mm nachukia sana nikiombwa vocha aaaah mm najaza jelo jelo sasa mtu anakuomba tena dah

Unaeza mpa hiyo ela ya vocha kumbe anakutumilia tu, ana njemba yake pembeni ambayo anaona ana fyucha nayo..wewe washika pembe kwa juhudi zote kumbe tawba maskini ya mmngu vyako vyaliwa na wenye meno..Mie hata jero stoi! kama anaona mapenzi yetu yana maana atajigharamikia, kama vipi asepe!
 
Unajidai hujui,we huko uswahilini unatafuta nini kama si hao wa gharama nafuu??tunaweza kuwa tumefanana maumbile yanayotutofautisha na nyie but we differ in so many aspects,hata wanaume nao wana classification zao????

kumbe mnatuclassify eeeeh? mnatumia criteria gani?
 
Aah,na nyie huwa mnazidi bwana wacha mchunwe tu. Sasa ww unamtongoza msichana kwa mbwembwe unategemea nn! Wengine mpaka mnaazima na magari ya watu ili uonekane unazo! Sasa yote hayo ya nn! Acheni kujikwezaaaaa

hapa mimi simo,
huwa sitaki pressure zote hizi,
isitoshe najua asali tamu huwa inapatikana wapi!lol.......
 
Naomba nikukumbushe kidogo michelle,
sio kwmba kila mwanaume anapomtongoza mwanamke ,
basi huwa amependa, au ana mapenzi nae,
mara nyingi wanaume wanataka kutimiza wajibu wao wa urijali tu!,
ndo maana akiona unakuja na bills zako ambazo hazina mpango, anasepa anaenda kwingine!!!!
yap na utambue pia SI KILA MWANAMKE AKIKUKUBALI AMEKUPENDA...Mwingme anataka kutimiza ANDIKO LA MWANAUME NI KICHWA NA ANA WAJIBU WA KUMTUNZA MWANAMKE..
 
Unaeza mpa hiyo ela ya vocha kumbe anakutumilia tu, ana njemba yake pembeni ambayo anaona ana fyucha nayo..wewe washika pembe kwa juhudi zote kumbe tawba maskini ya mmngu vyako vyaliwa na wenye meno..Mie hata jero stoi! kama anaona mapenzi yetu yana maana atajigharamikia, kama vipi asepe!
naomba vocha wewewe.....:smile-big:
 
Unajua pale ni winga nzuri la timing foleni ubungo

Yule mhudumu bonge anahudumia vizuri hata kupangusa meza anafanya vizuri sana.

Sure - Halafu mtu eti analetewa INVOICE - Badala ya kupita mitaa ya uswazi na kupata "original"! Kuna yule mwingine "tolu" amejikoroga kidogo du! Usisahau kunipigia ukifika Rombo wiki hii siku yoyote!
 
Unaeza mpa hiyo ela ya vocha kumbe anakutumilia tu, ana njemba yake pembeni ambayo anaona ana fyucha nayo..wewe washika pembe kwa juhudi zote kumbe tawba maskini ya mmngu vyako vyaliwa na wenye meno..Mie hata jero stoi! kama anaona mapenzi yetu yana maana atajigharamikia, kama vipi asepe!

Hahahaha sasa ni bora umempa hiyo 400 hata akikunyima sio mbaya umeishia kushika pembe huwezi umia kama ungetuma 500 maana unaumia roho sana
 
Wanawake wote wako sawa tu - tofauti ni-aproach ya mwanaume! Kuna wanawake ambao nilikuwa naona matawi lakini ukimu-aproach unaweza kukuta hata ile gesti ya panorama karibu na Meeda Bar sinza inamtosha - tena short time!

Nimekutana mpaka wanawake ambao wakitongozwa wanaume wanawapeleka Dubai ku-do, lakini mimi huwa nawapeleka PR Sinza!

Katika swala na ku-do ALL WOMEN ARE EQUAL![/QUOTE]
:Cry::Cry:
we mrongo sjapata ona..
 
Sure - Halafu mtu eti analetewa INVOICE - Badala ya kupita mitaa ya uswazi na kupata "original"! Kuna yule mwingine "tolu" amejikoroga kidogo du! Usisahau kunipigia ukifika Rombo wiki hii siku yoyote!

Sawa mkuu usijali nitakushtua tu
 
Wanawake wote wako sawa tu - tofauti ni-aproach ya mwanaume! Kuna wanawake ambao nilikuwa naona matawi lakini ukimu-aproach unaweza kukuta hata ile gesti ya panorama karibu na Meeda Bar sinza inamtosha - tena short time!

Nimekutana mpaka wanawake ambao wakitongozwa wanaume wanawapeleka Dubai ku-do, lakini mimi huwa nawapeleka PR Sinza!

Katika swala na ku-do ALL WOMEN ARE EQUAL!

Hapo yenyewe umeshatofautisha.............hakuna usawa,na hautakaa uwepo....we unakutana na wanawake wako desperate unapeleka/unapelekwa popote then unaona wote wako sawa????kuna tofauti ya kumuona mtu matawi na mtu kuwa matawi,kuna wanawake ni matawi but ni cheap pia,WE DIFFER,kuna ambaye hana hela but si cheap pia,kuna wenye hela na ni-expensive pia........
 
yap na utambue pia SI KILA MWANAMKE AKIKUKUBALI AMEKUPENDA...Mwingme anataka kutimiza ANDIKO LA MWANAUME NI KICHWA NA ANA WAJIBU WA KUMTUNZA MWANAMKE..

mwanamke wa hivi, yes,
perfect match!!!!!!!!!
 
Yaani hata ya kubip huwezi mpa? Unaweza ukawa na miahadi nae sasa akifika mawasiliano si unajua muhimu lazima umtumie kidogo ka vocha mm huwa sizidishi saidi ya 400/= najua kubip na kutuma sms inatosha. Ila mm nachukia sana nikiombwa vocha aaaah mm najaza jelo jelo sasa mtu anakuomba tena dah

hahahaa naomba nipunguzie 250 basi
 
Back
Top Bottom