Kumbe wewe bacha wafaa unalipa mpaka kodi ya nyumba? mwingine kodi halipi anakuja kukugongea kwako halafu ukimuomba hela kidogo anasema umempiga mzinga mwe!
Nafurai wadada wame-comment vizuri...........
1.Kama tunavyojua mwanaume akiwa anataka..............atasema lolote,sasa kuna kaka zangu wana ji-market sana,mara mimi vile mara mimi hivi,unamjengea mtu picha fulani,ndo maana hata hajakukujua jina la pili ashaleta invoice.
2.Saa nyingine wanawake hufanya hivyo just to get a man out of her life,get rid of you......hakutaki na anajua huwezi mpa hilo analotaka au utaumia ukiamua kulipa,but anafanya ili umuache.
3.Wanaume muwe mnaangalia na wadada mnaowatongoza,mapenzi si hela but lets be honest,kuna mtu si standard yako.....nilishasema tena,unakuta wewe what you can afford ni kumpeleka mdada b-bar,sijui kwa mangi kunywa pia.........dada kazoea kula marrybrown,shopping kila weekend,wewe na ka-mshahara kako ka laki nne huyo unamtaka,waga mnaonekana vituko unless dada nae anakutaka.....:car::car:
2.Saa nyingine wanawake hufanya hivyo just to get a man out of her life,get rid of you......hakutaki na anajua huwezi mpa hilo analotaka au utaumia ukiamua kulipa,but anafanya ili umuache.
ndo maana akiona unakuja na bills zako ambazo hazina mpango, anasepa anaenda kwingine!!!!
Mi nimeweka kambi Tandale kwa Mtogole kuna watu humu wananicheka umeona ehee
Kaka, Mimi si-Clii hata angekuwa Kim Khardashian.. watoto mbona wako wengi tu, na wengine wanabalehe right this minute..Mzee unaletewa bill ya nyumba laki 9 kwa miezi 6 hapo ndo kwaanza hata kumega hujamega sijui uta clear?
Mzee unaletewa bill ya nyumba laki 9 kwa miezi 6 hapo ndo kwaanza hata kumega hujamega sijui uta clear?
kaka hongera bana,
huko nasikia,
ukitoa mtaji wa kuuza mkaa wa mafungu,
mzee kiulaini mwaka mzima!!!!!!
Kaka, Mimi si-Clii hata angekuwa Kim Khardashian.. watoto mbona wako wengi tu, na wengine wanabalehe right this minute..
Kwanza ukikaa Bar unapiga Safari zako unaonekana muheshimiwa watu wanajiuliza kajamaa kanafanyia Serikalini kale yaani full burudani umekaa na totoz gharama haivuki ten na umekunywa na kula juu.
Unajua nini Fidel,
bora hata hiyo huduma wanayoitoa basi,
ifanane na hiyo laki tisa?
mzee unakuja kujuta tu baadae, unagundua kumbe sio penyewe kabisa!!!!!!!
Isitoshe Mungu nae anajua kubalance bana,
hizi totoz za huku uswahilini kwetu,
mungu amezipendelea sana kwa uzuri, mashalllah!!!!!!!
unakula mzigo bila pressure!!!!!!!
hapo kwa RED, kaka umenikumbusha mbali sana!!!!!!
Haya ndo maana mnaishia kuchuna
Lakini na nyie huwa mnapenda msipo pendeka pia
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.
Kwanza ukikaa Bar unapiga Safari zako unaonekana muheshimiwa watu wanajiuliza kajamaa kanafanyia Serikalini kale yaani full burudani umekaa na totoz gharama haivuki ten na umekunywa na kula juu.
Kwanza ukikaa Bar unapiga Safari zako unaonekana muheshimiwa watu wanajiuliza kajamaa kanafanyia Serikalini kale yaani full burudani umekaa na totoz gharama haivuki ten na umekunywa na kula juu.
Duh - buluuu Mondey!
Sasa alikupatia "quotation"?
Sasa ulimpatia "LPO"?
Sasa mzigo ame-deliver na "delivery note" unayo?
Au ameleta Invoice moja kwa moja? Huo utakuwa UFISADI in a different form!
BTW: Sasa wewe uli-request a pre-paid service au post-paid service?
Naomba nikukumbushe kidogo michelle,
sio kwmba kila mwanaume anapomtongoza mwanamke ,
basi huwa amependa, au ana mapenzi nae,
mara nyingi wanaume wanataka kutimiza wajibu wao wa urijali tu!,
ndo maana akiona unakuja na bills zako ambazo hazina mpango, anasepa anaenda kwingine!!!!
unajua Maty, tatizo ni kwamba,
si kila mpiga ngoma anajua kucheza!!!!!!!
Hata hao wa kupiga na kuondoka,angalia na standard yako,kuna mwanaume mwingine unajiuliza hizo guts za kusogea karibu na yule dada katoa wapi???Umezoea kulipia guest house 5000,mwenzio kama akilala sehemu cheap ni dola 600,in short mnaboa....hamna cha kuonyesha urijali wala uhanithi,angalia na unayemtafuta hata kama ni part time ndo maana kuna wasichana wa kila hali......:Cry: