Huo unakua ni ujinga wako mwenyewe kilikusibu kipi ukahonga weeeeeeeeeeeeeee kabla hujapata unachotaka? babu yangu huwa asema huduma nzuri malipo mazuri. Tatizo lenu huwa mnahadaika sana mkiona mwanamke mzuri mnadhani na uko kuzuri ndio unahonga mpaka halafu ukienda uko unakutana na bwawa halafu la baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mkome
weekend ijayo ntakualika tuwe sote!!!!!!
hivi zile wine za buku 25,
nilizokununulia mwaka mpya,
hivi nayo ni hongo eeeeh?
Utajiju.....quality not guaranteed,na hapo ni ngumu kupima inawezekana kitu nzuri tu sema unauona hai-worth hiyo gharama uliyojitutumua ukatoa.....ha ha ha ha,mi penda hii!
Hapo ndo tunasema utajibeba,ujifunze!:A S 27:
hapa mimi simo,
huwa sitaki pressure zote hizi,
isitoshe najua asali tamu huwa inapatikana wapi!lol.......
Mzee hawa watoto wa mboga saba wanaweza kukufilisi yaani wine za buku 25???
Kiongozi,
Naona michelle amezaliwa Upanga, amesoma Olimpiyo, na Kisutu Girls then Scholarship UK!
Kwa mtizamo wangu - Wanawake wazuri wapo uswazi - full stop - Wale hawajui Meriedo wala nini - Lakini akivaa kigauni cha "mtumba" anapendeza kuliko hawa wanaoshinda shopping malls - and above all - they know how to make love!
weekend ijayo ntakualika tuwe sote!!!!!!
wapi hpo bacha,hebu malizia bwana.
hahahaaaaaa karibu sana nikupige mzinga bana
Oraiti, msisitizo ni kwamba,
gharama iendane na ubora wa huduma wajameni!!!!!!!!kha..........
Yah, Kama jasho la mtu laliwa..
kwani nina appointment? Unapewa kama kuna miahadi vinginevyo patupu :love::love::love:
Oraiti, msisitizo ni kwamba,
gharama iendane na ubora wa huduma wajameni!!!!!!!!kha..........
Dah akiingia jamaa na gia ya buku 10 si mambo yanakuwa bam bam anae honga pakubwa ndo anakuwa wa kwanza kufikiliwa
Mi quality ya k... yangu naijuaje?? wewe unayeitumia ndo waweza jua.......lol
Oraiti, msisitizo ni kwamba,
gharama iendane na ubora wa huduma wajameni!!!!!!!!kha..........
unaona sasa,
hebu waambie hawa wakina Michelle na Maty,
huduma ndo inayokimbiliwa hapa!!!!!!!
fidel we kiboko,watu wanatuma vocha 30000 20000 we 250 tu mpaka uwe na miadi!
Hii sentensi imemaliza mjadala! Normally wale "high-class" ladies gharama inakuwa "inverse propotional" na huduma!
Unampeleka Giraffe lakini unachokikuta ni "way below the expectations"! Akishaondoa "Wigi" na kuondosha "Jeans" na "Top" kinachobakia ni "please try again later"! Usiku kucha unakuwa unawaza what the hell did I pay for $350.00??