Wasichana Warefu ni wazuri sana

Wasichana Warefu ni wazuri sana

Majuzi j3 nilimuona dada mmoja mrefu kama 5.8. Ana rangi pendwa ya chocolate, guu la bia, tumbo kama la nyoka, hana komwemwe kajaaliwa shape na wezere la uchokozi lipo mashallah alinivutia hadi nikaachwa na bajaji niliyotaka kupanda.

Kuna wale warefu alafu wembamba kama mishale/dada wa taifa, hao hapana
Hata jana mitaa ya samora na ohio alikatiza pale kidogo watu wagongane huko barabarani
 
Back
Top Bottom