Ya kupima urefu au ya muamala🤣Kuna ofa yako huku
Sio kivile🤣🤣🤣🤣 nikipanda gari la uuma ndio najua kuwa sio shotiii kivileMla kande kumbe shotiii
vyote, twende tarangire tukawachungulie tumbili 😀Ya kupima urefu au ya muamala🤣
Au ukienda kigoma🤣Sio kivile🤣🤣🤣🤣 nikipanda gari la uuma ndio najua kuwa sio shotiii kivile
Daah!!Majuzi j3 nilimuona dada mmoja mrefu kama 5.8. Ana rangi pendwa ya chocolate, guu la bia, tumbo kama la nyoka, hana komwemwe kajaaliwa shape na wezere la uchokozi lipo mashallah alinivutia hadi nikaachwa na bajaji niliyotaka kupanda.
Kuna wale warefu alafu wembamba kama mishale/dada wa taifa, hao hapana
Kupimwa urefu ndo kipengele nisichokitakavyote, twende tarangire tukawachungulie tumbili 😀
Kama wewe ni mrefu, OA no problemKwa hiyo tusioe
wafupi!
Kipimio kilishakatika, muhimu kuona uhalisia wa duniaKupimwa urefu ndo kipengele nisichokitaka
Hata jana mitaa ya samora na ohio alikatiza pale kidogo watu wagongane huko barabaraniMajuzi j3 nilimuona dada mmoja mrefu kama 5.8. Ana rangi pendwa ya chocolate, guu la bia, tumbo kama la nyoka, hana komwemwe kajaaliwa shape na wezere la uchokozi lipo mashallah alinivutia hadi nikaachwa na bajaji niliyotaka kupanda.
Kuna wale warefu alafu wembamba kama mishale/dada wa taifa, hao hapana
Mkuu kuna pisi ni nadra sana kuziona kama hiyo. Wengine warefu ila hawapo na sifa hizo alafu alikuwa kavaa sketi imeishia chini ya magoti 😋.Daah!!
Mrefu wa Wastani!Acha kutusema basi🤣🤣 167cm sio mfupi kivile!
We jamaa ni limalaya sana ila unaonekana unajua kuhongaKipimio kilishakatika, muhimu kuona uhalisia wa dunia
Mi ni mtu mwema sana,mzee wa kanisaWe jamaa ni limalaya sana ila unaonekana unajua kuhonga
😅 ukimuona tena mpe maua yake mkuuHata jana mitaa ya samora na ohio alikatiza pale kidogo watu wagongane huko barabarani
Pole kwa kuuguaNItarudi hapa ngoja kwanza nikapige dozi yangu ya u.t.i sugu
Mzee wa kunusa au kanisa?Mi ni mtu mwema sana,mzee wa kanisa
KwendaaaMi ni mtu mwema sana,mzee wa kanisa
I will do.😅 ukimuona tena mpe maua yake mkuu
Hujapona tu, 🤣🤣NItarudi hapa ngoja kwanza nikapige dozi yangu ya u.t.i sugu