Wasichana Warefu ni wazuri sana

lakini mtashangaa mtu kama huyu anakufa masikini kwa kushindwa kuziona fursa..... umeweza kuangalia wanawake 200+ ulichoona ni umbo tu mbali na hapo ubongo wako umezezeteka ukiambiwa fursa ya biashara au maendeleo kwenye hao 200+ huna ujualo kwakua ubongo wako umeuelekeza kwenye mambo yatakayo kudidimiza kiuchumi na hii imeanzia kwa wazazi wako.... alafu mtailaumh serikali japo ina matumizi ya kifahari ila yanasababishwa na mbuzi kama hizi zinazo meeee hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…