Wasichana Warefu ni wazuri sana

Fact
 
Tumefikiwa japo Mimi ni mmama
 
Binafsi sipendi girl mwenye tumbo au ma nyama nyama ujue kuna tako na kuna mwanamke mnene hawa wana manyama nyama japo wao huzani wana tako kumbe wana zani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜Ž ...fantasy yangu ni binti mrefu asie na kitambi na sio mwembamba sana tako laini ....πŸ™Œβœ…οΈ...
 
Ni kweli utu tufupi tuko karibu na ardhi rahisi kuokota mawe tukupige wakati wa vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…