Wasichana Warefu ni wazuri sana

Wasichana Warefu ni wazuri sana

Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.

Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.

Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.

60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.

72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.

50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.

36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.

40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.

Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)

NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.

Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Fact
 
Tumefikiwa japo Mimi ni mmama
 
Binafsi sipendi girl mwenye tumbo au ma nyama nyama ujue kuna tako na kuna mwanamke mnene hawa wana manyama nyama japo wao huzani wana tako kumbe wana zani 😅😅😎 ...fantasy yangu ni binti mrefu asie na kitambi na sio mwembamba sana tako laini ....🙌✅️...
 
Back
Top Bottom