KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
- Thread starter
- #21
Mimi nimepima kabisa.Kwa wastani wa vimo vya wanawake ni tall kimtindo
Akifika kuanzia Ft 5.5 nimrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimepima kabisa.Kwa wastani wa vimo vya wanawake ni tall kimtindo
Sifa ukiwa unayo haujioni kama unayo, hata messi anajiona yeye ni mchezaji wa kawaida tuNiko hapo na sijioni kuwa mrefu wajameni
Sasa wale wa 6 si mangongoti kabisa km tu na sie tunaonekana warefu!Sifa ukiwa unayo haujioni kama unayo, hata messi anajiona yeye ni mchezaji wa kawaida tu
Back those days!Sifa ukiwa unayo haujioni kama unayo, hata messi anajiona yeye ni mchezaji wa kawaida tu
6 ft ama?Enhee tumefikiwa,,,sasa sisi tunao anzia sita ni mangongoti
Ahaha hapo ndipo unapofeli.Kule ni noma sana😅😅
Ngoja ninatute dictionary yangu nizame tena.
Si ndio6 ft ama?
Si ndio6 ft ama?
ft 6 sio mchezo wewe wako wachache sana.Sasa wale wa 6 si mangongoti kabisa km tu na sie tunaonekana warefu!
Mko wachache sanaSi ndio
Wewe wa kuniita mimi ngongoti kwel 😂😂😂na nna 6 na points dadeqSasa wale wa 6 si mangongoti kabisa km tu na sie tunaonekana warefu!
NishaonaNani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)
Bidhaa adimu si ndioMko wachache sana
Kamtazame tena 🤣Nishaona
Urembo hautegemei kitu kimoja tu
Unaweza kuta ni mrefu sawa, ila ana chogo ndefu kama baruti
Halafu wembamba hufanya mtu aonekane mrefu napoft 6 sio mchezo wewe wako wachache sana.
Flaviana na urefu wake hafiki 6
Ngongoti mnafaa kupelekwa maabaraWewe wa kuniita mimi ngongoti kwel 😂😂😂na nna 6 na points dadeq
Flavi ana 5.9ft kama sikoseiHalafu wembamba hufanya mtu aonekane mrefu napo
unakazia kabisaNgongoti mnafaa kupelekwa maabara