Wasichana Warefu ni wazuri sana

Wasichana Warefu ni wazuri sana

Sifa ukiwa unayo haujioni kama unayo, hata messi anajiona yeye ni mchezaji wa kawaida tu
Back those days!
kuna mmoja tulikuwa nae training moja hivi alikuwa na kakengeza hivi, alikuwa tall sasa tulikuwa tunavaa mauniform nikawa namchukulia poa.

One of the weekend akawa amepiga jinsi yake kali na katisheti.
Ebwana eeh! nilidata 🤗.
 
Back
Top Bottom