Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Mbona husemi kuwa Wayahudi ni jamii isiyo na nchi yao.
 
Hizi ni propaganda tu za kupotosha ukweli.Huwezi kuutofautisha uyahudi na Waisrael.Dini asili ya Waisrael ni Wayahudi kama ilivyo dini ya Induism kwa wahindi.Muisrael kuwa muislam au mkristo hiyo haiondoi ukweli kuwa Waisrael dini yao ya asili ni Judaism.Kama sivyo Kwa nini dini ya kiyahudi haijasambaa duniani?Kwa nini hakuna mtanzania,mkenya,mmalawi,au muafrika yeyote Kwa asili anayefuata dini ya kiyahudi?Uislamu na ukristo umetokea Middle east lkn umeenea dunia nzima.Kwa nini uyahudi uwe katika taifa moja tu?
*Pili inasema Waisrael wenyewe ni Wapalestina!Hivi unajua lugha asili ya Waisrael wa kweli ni ipi? Waisrael wa kweli lugha yao ni kiebrania.Sasa Wapalestina lugha yao ya asili ni kiebrania?Kwa nini dunia nzima taifa linaloongea kiebrania kama lugha yao ya taifa liwe moja tu?Au Wapalestina wamesahau lugha yao ya kiebrania? Basi yatakuwa maajabu ya milele;Yaani mwenye lugha yake aisahau kabisa lugha yake halafu mgeni aje kuifahamu na kuitumia kama lugha yake mama!! Waisrael ni Watu wa kawaida sana.Ni kama sisi watanzania tu.Tofauti wao walikabidhiwa mausia ya MUNGU ili wayasambaze kwetu,lkn walikataa.Kitendo cha kukataa ndo kikaondoa upekee wao Kwa MUNGU.Ugomvi wa Wapalestina na Waisrael hautaisha hadi mwisho wa dunia.Wapalestina ndo wafilisti.Waisrael walipoletwa hapo na Joshua waliwakuta.Waliambiwa wawaangamize wote maana nchi ilishawatapika kutokana na maovu yao,lakini wao hawakuwaua wote.Mungu akawaambia hao wamekuwa mtego kwao.Wanapokengeuka tu Wapalestina wanakuwa fimbo ya MUNGU kwao.Netanyahu atawapiga na kuwaangamiza sana,lakini hawataisha milele.Wataendelea kuzaliana Kwa wingi,na kuendelea kuwa fimbo ya MUNGU Kwa Israeli hadi kiyama.
 
Wapalestina sio wafilisti ishakuwa debunked mara kibao, unaniambia mimi Naongea propaganda, ila nakupa ushahidi wa Kisayansi wa studies mbalimbali zikionesha kwamba Wapalestina na Walebanon wa Sasa ndio OG canaanite,


Angalia hii Ted talks huyo jamaa ni Ashkenazi jew na amefafanua kwa undani study inayo imesha miaka 3700 iliopita walioishi hapo Dna zao ni sawa na wapalestina wa leo

View: https://x.com/expatvibes/status/1796810792832053428/mediaViewer?currentTweet=1796810792832053428&currentTweetUser=expatvibes
Pia Ame Debunk kwamba wapalestina ni waarabu/wafilist.

Pia ukiangalia hizo Tweets za Netanyahu kila siku anabadili Gia mara Wapalestina ni wazungu (Wafilisiti) mara wapalestina ni waarabu wametoka Gulf, huwezi kuwa Mwarabu halafu hapo hapo ukawa mzungu, na hio ni dalili ya propaganda na kusema uongo.

Ukitoa hio video kuna studies kibao zimefanyika hadi Havard na vyuo vikubwa vikubwa zote zina Agree kitu kimoja Wapalestina wa sasa ndio Israelite wa Zamani.

Hii study nyengine ya Dna

View: https://x.com/MiroCyo/status/1712258026881921287



Hizi picha Inaelezea kwa laymen makundi mengi ya Huo Ukanda kama Samaritan, Wapalestina Wakristo, Wapalestina waisilamu etc wana Dna kali zaidi ya Israelite wa zamani, at same Time hao Ashkenazi Dna zao za Kuchovya.


Kama mimi nilivyoelezea kwa Ushahidi na wewe leta ushahidi hapa
1. Wapalestina ni wafilisti na Dna zao ni Za kizungu
2. Ashkenazi ndio wayahudi OG

Kama huna ushahidi na una maneno matupu basi wewe ndio mueneza propaganda.
 
wayahudi walishapigana sana hadi na Warumi, Roman empire yenyewe ikanyoosha mikono ikakaa nao mezani wakakubaliana kwamba tutawatawala ila muwe na serikali yenu na sheria zenu, ndio maana hata kipindi cha Yesu, pamoja na kuwa ni koloni na warumi, wayahudi walikuwa na mfalme wao aliyeitwa Herode na ndiye aliyejenga sinagogi lile pale waarabu walivunja wakajenga al aqsa.

kwa wasomaji wa Biblia hata ujio wa Yesu alipojitangaza mfalme, walifikiri ni mfalme anakuja kuwafuta kabisa warumi, walimuuliza mara kwa mara kama wakati huu ndio amekuja kuwarudishia israel ufalme toka mikononi mwa warumi. Herode aliendelea kutawala hata baada ya Yesu Kupaa, na ndiye alimkata kichwa Yakobo mwanafunzi wa Yesu, akadhamiria kukata kichwa cha Petro pia kabla Mungu hajamwaibisha kwa kuliwa na chango baada ya wateule wa Mungu kupiga sala ya nguvu kwa Mungu.
 
Mbona husemi kuwa Wayahudi ni jamii isiyo na nchi yao.
Hakuna binadamu asiye na nchi yake, labda mtu huyo akose kumbukumbu au jamii imnyang'anye haki yake ya kuwa na nchi.

Matatizo ya Mashariki ya Kati, hayataisha mpaka wahusika wote watakapoukubali ukweli kuwa wahusika wote wana haki katika ardhi ya mababu zao. Kama tangu kale watu wa kabila mbalimbali waliisha katika taifa moja, inashindikana nini leo watu wa jamii tofauti kuishi pamoja?
 
Kuna mahali nimesema kuwa Ukraine imeisambaratisha Urusi? Rudia usome tena.
 
Unachanganya mada na kuhitimisha kama vile umeshaamuwa wote wametokea wapi na ardhi yao ilikuwa ipi.

Nakuuliza swali, unalifaham azimio la Balfour?
 
Kwa logic hii ina maana kila vita ambayo Israel inashinda means Mungu yuko nao? Nchi inayoongoza kwa kusupport ushoga je Mungu anaweza kaa hapo? Duh

Huo ushoga umeanza lini? Na je, maasi, uovu na dhambi ni ushoga pekee?

Uzingatie kuwa nilichokisema ni jinsi walivyoamini nyakati hizo, sijasema mimi kuwa Wayahudi wanaposhinda vita maana yake Mungu amebariki.

Ninachokiamini mimi, ambacho unaweza kukipinga pia, jamii ikitenda kinyume na mapenzi ya Mungu, uasi ukizidi, Mungu anaweza kuiadhibu jamii yenu hata kwa kutumia wanadamu wenzenu, ambao yawezekana pia nao wasiwe jamii takatifu.

Yumkini mauaji mengi dhidi ya waarabu, kuanzia yale ya wenyewe kwa wenyewe mpaka haya ya Wayahudi dhidi yao, huenda kuna matendo ya jamii hizi za kiarabu yenye uovu uliopindukia, ambao haumpendezi Muumba wetu. Bwana wa Mbingu na Nchi anawaadhibu kupitia namna mbalimbali.

NB: Eneo la Mashariki ya kati ndilo linaloongoza kwa vifo vinavyotokana na mapigano kuliko eneo lolote Duniani. Na vingi ni mauaji ya wenyewe kwa wenyewe. Kuna mwaka, miaka ya karibuni, vifo vilivyotokea Mashariki ya kati, vilivyotokana na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe vilifikia karibia laki 3.
 
Unachanganya mada na kuhitimisha kama vile umeshaamuwa wote wametokea wapi na ardhi yao ilikuwa ipi.

Nakuuliza swali, unalifaham azimio la Balfour?
Sijawahi kulisikia. Fafanua.
 
Ngoja nikutajie mmoja. Newton unamjua mkuu? Wagunduzi wakubwa duniani ni Waisrael wanaishi katika mataifa mbalimbali hapa duniani. Na wamebobea sana kwenye sector ya mawasiliano.
ficha ujinga wako wewe mfia dini. Sir isaac newton sio myahudi na hajawahi kuwa myahudi hata siku moja nakupa historia ya sayansi. Ugiriki(mji mkuu wake athens) ndio kitovu na chimbuko la sayansi na falsafa ya ulimwengu. Wanasayansi na wanafalsafa wote manguli wametokea ugiriki na waliishi na kufanya gunduzi zao hata kabla yesu hajazaliwa huyo newton ndo kabisa mtoto wa juzi. Zamani enzi za kina newton shule nyingi zilikuwa zinafundisha historia ya ugiriki na lugha ya kigiriki(sio historia ya israel na lugha ya kiyahudi) na huyo newton alisoma historia ya ugiriki na lugha ya kigiriki na akawa inspired na wanasayansi wa kigiriki na kitabu chake aliandika kwa lugha ya kigiriki. Unamjua pythagoras wewe? socrates? Plato je? Xenophon? Aristotle je?Hao wote wameishi kabla ya yesu.
 
Kumbe vifo ina maana tuna dhambi? Unaongeleaje vifo vya Ukraine kufika malaki nao walimkosea nini Mungu? Au wayahudi million 6 waliochinjwa na Hitler je nao walikua na dhambi? Sikujua kumbe vita zinazochochewa na marekani huko uarabuni ni sababu ya dhambi za waarabu duh!!
 
ushoga umeanza lini? Na je, maasi, uovu na dhambi ni ushoga pekee?
Si ndio dhambi kubwa kuliko zote according to JamiiForums!! sasa gay capital of the world ni Tel Aviv ndio najiuliza je Mungu anapendezwa na hayo mambo? Hata pornography industry inaongozwa na wayahudi je Mungu anapendezwa? Hata silaha za maangamizi hao wayahudi ndio wanaongoza kutengeneza!! Je Mungu anapendezwa?
 
🤣🤣🤣🤣
 
nyakati hizo,
Hii ni kweli, ila kwa sasa hawana Mungu in fact hata biblia hawaiamini wanaona ni ukafiri wanaamini torati tu, sasa Yesu ni Mungu according to wakristo sasa hao wayahudi hawaamini Yesu ni Mungu sasa unadhani wana Mungu gani anayewalinda wakati hawamuamini tena? Hao wanashinda sababu ya silaha na marekani. Enzi hizo walishinda kwa nguvu za Mungu maana walikua na silaha haba, jeshi dogo na bado walishinda hivyo utukufu alichukua Mungu, je kwa sasa utukufu anachukua Mungu au watu wanasifia akili na silaha za wayahudi?
 
Kuna mwamba mmoja aliwahi sema Dini ni biggest lie ever invented by a man ,hakukosea.

Ukizisoma hizi dini kwa imani tu peke yake zitakupeleka puta sana while walio zi invent wanatimiza tu mambo yao,nyie mnabaki tuu kupingana kwa ukristo na uislam wenu ,sijui Taifa Teule ,sijui makafiri.... wote kaeni msome sanaa

There is no such things
 
Sio tu inaongoza na wayahudi bali na Rabi wakubwa wakubwa, just imagine mtu kama Askofu pengo ama Mufti Simba awe na website ya Porn,

Na sio tu Porn bali vifaa kama Dildos na vinginevyo ndio biashara kubwa ya MA rabbi.

Bila kusahau Hollywood silaha zao nyengine za kimaadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…