Wasifieni Wanawake zenu...

Wasifieni Wanawake zenu...

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k ..

Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe anayebeba Nyumba nzima, ni wazi kua nayeye hana hakika kama kila jambo kalifanya 100% inavyotakiwa.

Wanawake wanapenda KUSIFIWA KUSIFIWA KUSIFIWA , wanapenda Juhudi zao zionekane na kuthaminiwa, wanapenda michango yao nakila kitu kionekane kwako na ukitambue na yeye ajue wazi kua UMEKUBALI

Niivi , Anaweza kweli kua na Sura nzuri au Umbo zuri ,LAKIN KUNA KIUNGO ANAKICHUKIA SANA NA HANA HAKIKA NA UZUR WA KIUNGO Hicho ..mfano Anaweza simama kwa Kioo akajitazama juu chin ,alafu akachukua Pua yake.. Au matit, au Mguu, au Nywele, au Sikio, au Vidole n.k ..

Nawapa SIRI moja.

Kama huna Hela au Una hela ... Weee tanguliza kusifia tu , msifie anavyonukia, msifie Uzuri wake, sifia Saa alovaa, sifia Helen mwambie kabisa zimependesha masikio yako, Sifia macho yake, Sifia Pua, Sifia mguu, sifia makalio, sifia kiuno chake

Wee sifia tu.

Hata km ni mnakutana kazin... Wee msifie mara mnapokutana.. Sifia alivyopendeza, sifia anavyonukia, sifiaa sifiaa tu ,alafu SIFIA UCHAPAJI KAZI WAKE ,sifiaaa sifiaaa tu

Kama ni Mkeo nyumban sifia tu anavyokupikia, sifia anavyowajibika, sifia alivo mtamu kitandan, sifia tu uzuri wake ,msifiee msifieee

YAAN WEE MFANYE AAMINI KUA HAPA DUNIANI ,YEYE NDIO MWANAMKE PEKEE ALIYEKUWEZA, ALIYEKUKAMATA KISAWASAWA.....
Hata kama ana uchumi wake binafsi ( ACHA KUSHOBOKEA UCHUMI WAKE ) Wee sifia tu juhudi zake, sifia tu anavyopambana na maishaaaa.

Sheria ni ngumu ila ni sheria, KUMSIFIA MWANAMKE ni kitu kidogo sana ambacho Hakigharimu kitu, lkn Faida yake ni kubwa Sanaaaaaaaaaaa
Nahizi ni baadhi

Kumla Kimasihara kama sio demu wako

Yeye ataachana na michepuko mingine ili mradi tu keshajua ana mwanaume kamkamatia kisawasawa.

Hata usipomuhonga Pesa ,yeye karidhika tu ili mradi anajua keshakukamata ...( hapa wee utapaswa tu kumuelezea mipango yako , nakwakua wanaishi kwa ndoto badi ataridhika)

Kama umemuoa ndo kabisaa atakupa mambo matamu sana kuanzia kitandan, mapishi, na mahitaji meeengi ukiwa kama Mume wake.

....Sifiaa Sifiaa Sifiaa

...Jiaminiii ,onyesha una ujasiri ..( wanawake wanapenda mwanaume jasiri ).

...Kua Kijana Nadhifu wa Mwonekano.

Na mengine mengi kutegemea na aina ya Mwanamke.!!.

NB..SIFA IZO LAZIMA ZIAKSI VILE UNAVYOJISIKIA WEWE..

mf.. Wee Mwanamke jamani hayo macho yalivyo mazuri , nikikutizama tu huwa najikuta nmekua dhaifu ghafla,

KAMA ni demu wako, nyoosha maelezo kabisaa

............."najikuta nmekua dhaifu ghafla hadi mbooo hunisimama "[emoji23]

KAMA hujawah mtongoza, unamtaka au unataka kumla kimasihara.....

............"najikuta nmekua dhaifu ghafla ,kiasi kwamba huwa nawaza siku moja nikae nawee mahali patulivu tukiwa wawili, niyatizame hayo macho yako wakati unafika kileleni huwa yanakuaje!!
 
Kweli kabisa mimi mwanamke na kubali asilimia 100
emoji23.png
emoji23.png
 
Kweli kabisa mimi mwanamke na kubali asilimia 100[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaanzaje kutoka sasa...

Wakati maneno matamu yanaingia masikion, yanapenya mpaka ubongon. Yanaweka makazi

Baadae unaanza kuyakumbuka unacheka nakutabasam

Km ni meseji wasap, hapo mmeagana usiku mwema.... Unabaki unaanza kupitia upya maneno yake ya meseji kuanzia mwanzo mpaka mwishooo..

Unastuka saa kumi hiyo tayariii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Wanawake nyie hadi raha sana .. Mu wazur wa kutengeneza picha kupitia maneno.[emoji23]
 
Tumetoka kusifu na kuabudu huko Lumumba, kwa hiyo unadhauri tuhamie kwa wanawake zetu mkuu?
 
Mi nasifiaga hadi huwa anakibofu kizuri lkn hanipi! Nishamsifia mpk seli zake za damu lkn ndo kwanza ananiambia "kenzy we kaongo" haitoshi nishamsifia hadi vichunusi vyake kuwa vinaota kwa mpangilio nikajibiwa "toka hapa!"

Mwengine nikamsifia mpk jipu lake kuwa limeota pazuri! Nilipigwa na sufuria lilikuwa na dawa yake ya kujikandia na jipu lilikuwa limeotea kwapani..😬😬
 
Back
Top Bottom