Wasifieni Wanawake zenu...

Wasifieni Wanawake zenu...

Wengi wanaokuona hivo wamejikita zaidi katika mtizamo wa nje ila mimi binafsi kama muhusika mkuu kuna vitu vya kipekee sana nimeviona kwako kikubwa zaidi ni kujitambua na hauna hulka za kislay Queen hata punje.
(Real pure africanism installed all over your body)

Kuhusu kutafuta kwa sasa nimechoka maana inaonekana sina bahati ya jicho la kusajili wachezaji sahihi wenye mapenzi ya dhati na team so niko nasikilizia Mola akiniletea itakua safi sana, ila binafsi nikiri wazi nakukubali sana cariha [emoji30][emoji24][emoji24]
Hizi sifa kedekede sio za nchi hii Wala nashukuru kwa kuliona hilo kwangu I'm happy you know.
Wewe usikate tamaa utapata tu aliye sahihi
 
Hizi sifa kedekede sio za nchi hii Wala nashukuru kwa kuliona hilo kwangu I'm happy you know.
Wewe usikate tamaa utapata tu aliye sahihi
Uum! kingine napenda ujue sio kwa kuwa uzi huu unahusiana na mambo ya kusifia ndio maana naandika haya No
Ila nikwa kuwa nimeona ni sehemu pekee nayoweza kusema kupitia maandishi vile najihisi juu yako hata sifikirii kuhusu avatar na mengine iwe ni wewe au picha tu kama mimi
 
Uum! kingine napenda ujue sio kwa kuwa uzi huu unahusiana na mambo ya kusifia ndio maana naandika haya No
Ila nikwa kuwa nimeona ni sehemu pekee nayoweza kusema kupitia maandishi vile najihisi juu yako hata sifikirii kuhusu avatar na mengine iwe ni wewe au picha tu kama mimi
Naelewa hilo vizuri kabisa bwana singasinga. Ni vizuri ume express feelings zako kwa uwazi I like that.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkoa flani hivi amazing ikawa mixed flani hivi
Yeah! hiyo collabo imetoa hit nzuri sana
Nakufeel sana my girl trust me.
Natamani tukaishi Mumbai nikuondoe kabisa bongo.
 
Hii Karne ni ya sifa??
Awamu ya tano:SIFA SIFA SIFA SIFA SIFA
Mwanamke:SIFA SIFA SIFA SIFA SIFA

Sio lazima
 
Nadhani mdau wewe kidogo una faili langu kuhusu changamoto nlizokutana nazo,na bahati nzuri hili jukwaa ni kama bakwata yangu.

Nisaidie kumwambia huyu binti anipokee nimuoe kabisa nimechoka kuleta mabandiko humu
Mrembo cariha ameshakubali Ila anahofia utakuja na I'd mpya kumtusi humu....naomba ujitetee Ili akufungulie mlango wa huba
 
Maendeleo hayana Chama,, aha tuwape sifa
 
Mrembo cariha ameshakubali Ila anahofia utakuja na I'd mpya kumtusi humu....naomba ujitetee Ili akufungulie mlango wa huba
Ni kweli kaka king humu kuna hulka za kila aina na hizo changamoto zipo sana.

Ila kwa upande wangu napenda nikuhakikishie malezi ya kitofauti nlopata yamenifanya niwe mtu tofauti sana pia hadi kuna muda najiuliza labda siendani na nyakati tulizonazo sasa.

Kwa hiyo namuhakikishia Cariha awe na imani kwangu sitomuangusha,natamani sana awe baraka kuu maishani mwangu till am dead and gone.
 
Ni kweli kaka king humu kuna hulka za kila aina na hizo changamoto zipo sana.

Ila kwa upande wangu napenda nikuhakikishie malezi ya kitofauti nlopata yamenifanya niwe mtu tofauti sana pia hadi kuna muda najiuliza labda siendani na nyakati tulizonazo sasa.

Kwa hiyo namuhakikishia Cariha awe na imani kwangu sitomuangusha,natamani sana awe baraka kuu maishani mwangu till am dead and gone.
Mrembo cariha ,kijana kashajitetea uku nami ni shahid namba moja,plz mpokee kijana wetu...
 
Sio wanawake tu hata jiwe anapenda kusifiwa
 
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k ..

Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe anayebeba Nyumba nzima, ni wazi kua nayeye hana hakika kama kila jambo kalifanya 100% inavyotakiwa.

Wanawake wanapenda KUSIFIWA KUSIFIWA KUSIFIWA , wanapenda Juhudi zao zionekane na kuthaminiwa, wanapenda michango yao nakila kitu kionekane kwako na ukitambue na yeye ajue wazi kua UMEKUBALI

Niivi , Anaweza kweli kua na Sura nzuri au Umbo zuri ,LAKIN KUNA KIUNGO ANAKICHUKIA SANA NA HANA HAKIKA NA UZUR WA KIUNGO Hicho ..mfano Anaweza simama kwa Kioo akajitazama juu chin ,alafu akachukua Pua yake.. Au matit, au Mguu, au Nywele, au Sikio, au Vidole n.k ....

Nawapa SIRI moja.

Kama huna Hela au Una hela ... Weee tanguliza kusifia tu , msifie anavyonukia, msifie Uzuri wake, sifia Saa alovaa, sifia Helen mwambie kabisa zimependesha masikio yako, Sifia macho yake, Sifia Pua, Sifia mguu, sifia makalio, sifia kiuno chake

Wee sifia tu.

Hata km ni mnakutana kazin... Wee msifie mara mnapokutana.. Sifia alivyopendeza, sifia anavyonukia, sifiaa sifiaa tu ,alafu SIFIA UCHAPAJI KAZI WAKE ,sifiaaa sifiaaa tu

Kama ni Mkeo nyumban sifia tu anavyokupikia, sifia anavyowajibika, sifia alivo mtamu kitandan, sifia tu uzuri wake ,msifiee msifieee

YAAN WEE MFANYE AAMINI KUA HAPA DUNIANI ,YEYE NDIO MWANAMKE PEKEE ALIYEKUWEZA, ALIYEKUKAMATA KISAWASAWA.....
Hata kama ana uchumi wake binafsi ( ACHA KUSHOBOKEA UCHUMI WAKE ) Wee sifia tu juhudi zake, sifia tu anavyopambana na maishaaaa.

Sheria ni ngumu ila ni sheria, KUMSIFIA MWANAMKE ni kitu kidogo sana ambacho Hakigharimu kitu, lkn Faida yake ni kubwa Sanaaaaaaaaaaa
Nahizi ni baadhi

Kumla Kimasihara kama sio demu wako

Yeye ataachana na michepuko mingine ili mradi tu keshajua ana mwanaume kamkamatia kisawasawa.

Hata usipomuhonga Pesa ,yeye karidhika tu ili mradi anajua keshakukamata ...( hapa wee utapaswa tu kumuelezea mipango yako , nakwakua wanaishi kwa ndoto badi ataridhika)

Kama umemuoa ndo kabisaa atakupa mambo matamu sana kuanzia kitandan, mapishi, na mahitaji meeengi ukiwa kama Mume wake.

.....Sifiaa Sifiaa Sifiaa

.....Jiaminiii ,onyesha una ujasiri ..( wanawake wanapenda mwanaume jasiri ).

....Kua Kijana Nadhifu wa Mwonekano.

Na mengine mengi kutegemea na aina ya Mwanamke.!!.

NB..SIFA IZO LAZIMA ZIAKSI VILE UNAVYOJISIKIA WEWE..

mf.. Wee Mwanamke jamani hayo macho yalivyo mazuri , nikikutizama tu huwa najikuta nmekua dhaifu ghafla,

KAMA ni demu wako, nyoosha maelezo kabisaa

............."najikuta nmekua dhaifu ghafla hadi mbooo hunisimama "[emoji23]

KAMA hujawah mtongoza, unamtaka au unataka kumla kimasihara.....

............"najikuta nmekua dhaifu ghafla ,kiasi kwamba huwa nawaza siku moja nikae nawee mahali patulivu tukiwa wawili, niyatizame hayo macho yako wakati unafika kileleni huwa yanakuaje!!
Natamani nimuoneshe mtu huu uzi maana yeye hili somo nahisi alipata F
 
Back
Top Bottom