PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hivi umekubali ni naibu waziri !
Tuwaite kwa majina yao sio kwa vyeo batili!
Tusiwaongelee
Let’s focus
 
Sasa inakuaje mtu ambaye si mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano anachaguliwa kuwa waziri/naibu waziri kwenye baraza la mawaziri la muungamo?Alafu baraza la mawaziri la Tanganyika liko wapi?
Anateuliwa na raisi kuwa mbunge wa bunge la jamuhuri (raisi annazo nafasi 10). Hii iliwekwa kumwezesha raisi kupata mawaziri ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
 
Anateuliwa na raisi kuwa mbunge wa bunge la jamuhuri (raisi annazo nafasi 10). Hii iliwekwa kumwezesha raisi kupata mawaziri ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
Alichagua wabunge sita kati yao Wanu hayupo.
Wanu ni mwakilishi(mbunge) kule smz sio wa Jamhuri ya muungano.
 
Elimu ya Tz ni duni sana sijui huwa mnabrag kitu gani

imeharibiwa sasa hivi na muslims wa zanzibar, lkn before hii regime elimu yetu haikuwa duni, kwani high school a-level graduate alikuwa ana qualify kusoma university yoyote ile first world countries, na wapo wengi tu waliotokea a-level bongo with pcm, pcb, pgm au arts na kwenda kuwa top scientists, engineers, physicians au highly qualified accountants, lawyers nk in first world countries.

hivyo wanaoleta uduni kwenye elimu yetu ni hawa mediocre low iq zanzibari people …
 
Elimu mbalimbali
 
Ni waziri wa elimu huyo, mtu anayechangia kutengeneza sera ya elimu ya watu wa taifa hili.

Matokeo ya kazi zake yataonekana baada ya miaka kadhaa huko mbele ya safari.

Hivi ndivyo Tanzania inavyodidimizwa.

na huo ndiyo ulikuwa msumari wa mwisho, kwingine kote walishamaliza kuharibu, taasisi zote kuanzia banking industry, tanroads, mpaka tourism industry yote wameua …
 
Hakuna chuo kinaitwa Online Open University of Tanzania. Atueleze alikosoma
Jiongeze: Ni hiyo hiyo Open University, Tanzania; kasoma kwa njia ya mtandao.
Sasa kama swali ni kuhusu njia hiyo ya "mtandao", swali lielekezwe huko.

Huyu ni kilaza kuliko vilaza wote. Ni uthibitisho halisi juu ya ubovu tulionayo katika mipango yetu yote kama taifa, siyo huko tu kwenye elimu.
 
na huo ndiyo ulikuwa msumari wa mwisho, kwingine kote walishamaliza kuharibu, taasisi zote kuanzia banking industry, tanroads, mpaka tourism industry yote wameua …
Nisome hapo juu nilipowasiliana na 'Team JPM'.

Akina Profesa Waziri wa Elimu kuna wakati waliambiwa "Nonsense". Na wale wengine wa "Jalalani" hao ndio wakawa wapishi wa jikoni kwa hawa wapumbavu.

Sasa nashindwa kusema tuwalaumu nani, hawa vilaza walioweza kuwafunika hawa tuliodhani ni wasomi wetu wazuri, au hao wasomi ambao usomi wao hauna manufaa yoyote kwa taifa hili.

Lakini sijui kwa nini mara hii leo nimemkumbuka Profesa wa Hasabu, anaitwa nani vile Nadliko/Ndalicho, yule asiyejuwa lugha ya malkia lakini hesabu anaiweza.
Na nawakumbuka maprofesa wengi sana, akina Kapuya, Lipumba.....
Hivi hawa wote wanayo tofauti gani na hawa akina Wanu?
 
Mmekariri chuo kikuu ni mpaka kuteseka BILA sababu za Msingi.Alafu.ukitoka apo unaishiankuwa kama Prof Osoro-i did not wake up well today.
Acheni kukariri elimu
 

mwisho wa siku tanzagiza karibia kila kitu inategemea nani ni raisi i.e uwezo wa raisi aliyepo, ukiangalia waziri wa elimu wa sasa labda anaweza kuwa mzuri na qualified lkn kaletewa naibu ambaye elimu yake haitoshi na hapo hapo ni mtoto wa raisi ina maana ni bosi wake, sasa hapo waziri wa elimu atafanya nini? hamna jinsi labda ajiuzulu na hapo akijiuzulu mwenyewe kesho yake tunaombeleza …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…