PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.

She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
Huyu mama bado somo halijamwingia vizuri, tukutane D9
 
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia

Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)

Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)

• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)

• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)

• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)

• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)

Historia ya Kazi

• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.

Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).

Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.

Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:


Credit : Habari24
 
Mimi naomba matokeo yake hata ya kidato cha nne tuu....
Kidato cha nne ni elimu ya kitoto,ila ungekua umepitia elimu ya juu ungejua kuwa huruhusiwi kusoma bachelor degree bila principal E mbili na S moja au diploma,na hufiki a level bila C tatu o level,huendi diploma bila kupita level ya certificate au principal E moja na S a level
 
samahani, hii mimi nimeikuta sehemu sina uhakika wa moja kwa moja kama kweli ni yake lakini nimesoma na sijaelewa chochote humu


Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia

Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)
• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)
• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)
• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)
• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)

Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.

Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).

Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.

Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:


Credit : Habari24
Kwanini unapoteza muda wako?

Elewa kitu kimoja: uchaguzi haramu huzaa Rais haramu, Bunge haramu, Baraza la Mawaziri haramu, everything haramu!
 
Sasa inakuaje mtu ambaye si mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano anachaguliwa kuwa waziri/naibu waziri kwenye baraza la mawaziri la muungamo?Alafu baraza la mawaziri la Tanganyika liko wapi?
Una uhakika si mbunge!?.. tatizo huwa hamna information na mna mihemko
 
Back
Top Bottom