PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Utaielewa mbele ya safari, kanyaga twende
 
Mkuu wewe umepiga Bsc Civil Engineering nini? Mavitu magumu magumu tu
kUna makozi ya enzi zetu yalikuwa yanajulikana kabisa kwamba ukitoboa kuna maslahi makubwa mazuri,hasa kwa huo wakat aliosoma Wanu

Lakin wanu akajipigia certificate fresh tu ya mambo yao kaenda diploma yaan uhakika tu,
 
Wanajua uzito na umuhimu wa hii wizara kweli!
 
kUna makozi ya enzi zetu yalikuwa yanajulikana kabisa kwamba ukitoboa kuna maslahi makubwa mazuri,hasa kwa huo wakat aliosoma Wanu

Lakin wanu akajipigia certificate fresh tu ya mambo yao kaenda diploma yaan uhakika tu,
Sema yeye ni outlier kwasababu ametokea familia za makada wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…