PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.

She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia

Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)

Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)

• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)

• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)

• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)

• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)

Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.

Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).

Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.

Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Like maza like douta! Elimu ya kuunga unga mwanzo mwisho! halafu mama yake anamzawadia Wizara nyeti ya Elimu kwa nchi isiyo ya asili yake!! Aisee Gen Z mnatakiwa kuchukua hatua hiyo D9. Huku tunakoenda, ni kama dharau na masihara kwa Tanganyika yamepitiliza.
 
Weka elimu yake hapa kama haina kuunga unga ndani yake! Mnaunga unga elimu halafu mnapata kabisa ujasiri wa kutaka kujilinganisha na wengine! Vilaza mnazingua sana.
😂😂😂😂😂
 
Like maza like douta! Elimu ya kuunga unga mwanzo mwisho! halafu mama yake anamzawadia Wizara nyeti ya Elimu kwa nchi isiyo ya asili yake!! Aisee Gen Z mnatakiwa kuchukua hatua hiyo D9. Huku tunakoenda, ni kama dharau na masihara kwa Tanganyika yamepitiliza.
Hali ni mbaya sana, mawaziri ndio hawa wa elimu za kubumba halafu wabunge ndio wakina baba levo. Aisee hii ni dharau kwa Watanganyika
 
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.

She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia

Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)

Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)

• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)

• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)

• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)

• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)

Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.

Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).

Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.

Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Kumbe naye ana elimu ya kuungaunga kama Mama yetu
 
Inakuwaje taifa kubwa lenye watu 67m ambapo ndani yake kuna wataalamu na wabobezi wa fani mbali mbali tena wa kiwango cha juu kabisa linaruhusu hawa vilaza kutoka kwenye kakisiwa ka watu wasiozidi 2m tu kulichezea hivi?

Yaani watu wanapeana tu vyeo bila hata meritocracy utafikiri wanakabidhiana majukumu ya kuosha vyombo nyumbani..!?

Kweli watanganyika waliopo huko juu wamekubali hawa vilaza ndio watuamulie destiny ya taifa letu wakati hawana huo uwezo?

****** na mwenzako Mombo mtaingia kwenye vitabu vya historia kama watu wapumbav mliochangia kulizamisha hili taifa.
 
Hali ni mbaya sana, mawaziri ndio hawa wa elimu za kubumba halafu wabunge ndio wakina baba levo. Aisee hii ni dharau kwa Watanganyika
Huyu maza hana nia nzuri hata kidogo na hii nchi. Sijajua akiachwa aendelee kufanya anayotaka, nchi itaangukia wapi. Ni kama anafanya mambo yake kukomesha wote wanaompinga.
 
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.

She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia

Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)

Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)

• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)

• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)

• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)

• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)

Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.

Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).

Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.

Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Maajabu hayawezi kuisha bongolala
Elimu ya msingi na sekondari pako sawa ila shida inaanza Advance kama amesoma mwaka mmoja au amesoma kama Private candidate

Ujinga mwingine ana shahada ameipata mwaka mmoja au alimanisha certificate ni shahada plus diploma mwaka mmoja sijui zinatolewa vyuo gani mbaya zaidi CV imekaa ovyo ovyo tu hata kudanganya smart wameshindwa

Angalia tu historia ya kazi na mafunzo na kozi nyinginezo ni mambo tu kama yamepachikwa na mtu au watu wenye umeme mdogo

Mtu kama kama huyu anajua nini kuhusu elimu umasikini wetu ni wa kujitakia
 
Elimu za hapa na pale. Hii ndo kitaa wanavyodanganya wewe piga hata mwezi weka cheti, wiki weka cheti. Is it relevant na kitu unachofanya?
 
Back
Top Bottom