Hao wenye Elimu kubwa wametusaidia Nini?
Hao wenye Elimu kubwa wametusaidia Nini?
Haitasaidia hta hao 67 milioni wote wangekuwa ni wasomi mkuu tena kwa ngazi ya professors, ni bure! Si tulishakubaliana humu kuwa ukiwa CCM ni marufuku kutumia akili kwahiyo waache wafanye wanavyoona wao inafaa yoyote atakaewekwa ni sawa tuInakuwaje taifa kubwa lenye watu 67m ambapo ndani yake kuna wataalamu na wabobezi wa fani mbali mbali tena wa kiwango cha juu kabisa linaruhusu hawa vilaza kutoka kwenye kakisiwa ka watu wasiozidi 2m tu kulichezea hivi?
Yaani watu wanapeana tu vyeo bila hata meritocracy utafikiri wanakabidhiana majukumu ya kuosha vyombo nyumbani..!?
Kweli watanganyika waliopo huko juu wamekubali hawa vilaza ndio watuamulie destiny ya taifa letu wakati hawana huo uwezo?
****** na mwenzako Mombo mtaingia kwenye vitabu vya historia kama watu wapumbav mliochangia kulizamisha hili taifa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa kama mama yake kasoma sijui vitu gani huko Pakistan, unategemea yeye atakua na hali gani?
QTHii 2001 mpaka 2002 ACSEE imekaaje Wakuu!?
Wanataka kutuletea elimu ya Madrassa, wametuletea askari wao wakatuua na sasa wanataka kuharibu nchi yetu, wanatuletea wapumbavu wasio na akili. Wizara ya fedha amemweka mtu wake ili aendelee kuiba kama anavyofanya sasa.Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)
• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)
• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)
• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)
• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)
Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Wanasomaga ng'ambo wenyeweWazenji wote elimu zao za kuunga unga kama Hangaya. Yule AG nae kasoma sheria Ukraine. Waziri wa fedha mzenji nae utasikia ana diploma ya uchumi toka Burundi huko.
Ila ccm Kwa udanganyifu
KabisaHakuna chuo kinaitwa Online Open University of Tanzania. Atueleze alikosoma
HahahaaahInatosha kwa nafasi aliyoteuliwa
Ni mbunge wa bunge la JMT kupitia baraza la wawakilishi, nadhani huwa wanakuja watanoUna uhakika si mbunge!?.. tatizo huwa hamna information na mna mihemko
Kaunga unga kielimu hadi kafikaWanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)
• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)
• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)
• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)
• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)
Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Hakuna kitu hapo. Eti masters open university! Ukiona mtu amesoma Certificate kwanza, au Open University; basi tambua fika mtu huyo ni KILAZA! Na pia ana elimu ya kuunga unga.Advanced diploma mzumbe,post graduate diploma Manchester university, masters open university
Kwani hata policcm unawaonaje kwa mfano? Na wenyewe walifeli form four.Kwani ukifeli from 4 au 6 ndio kuwa kilaza?
Wewe mbona ni genius kabisa ukisimama mbele yake! CV imenyooka. Hakuna sijui QT, Open university, Manchester Conference!!Hata mm huenda Nina mzidi Waziri wa elimu japo napiga Boda