Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
π€£π€£π€£Wee aunt huogopiii? ππππ
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
π€£π€£π€£Wee aunt huogopiii? ππππ
Wale ni wazee wa kujiongeza unga unga mwana ndio maana mpaka Leo kule kwao wana maisha magumu sanaZinaungwa ungwa hatari. Kuna historia yao niliwahi kusoma humu, ndio nikaanza kuelewa kwanini cv zao zimeungwa ungwa hivi.
CV nzima ya kubumba kiongozi waafrika tuna shida sanaHakuna kitu hapo, hii ni elimu ya kujipachika tu .
Ila nikiangalia CV za mtu na bintiye, nachoka mie kwa kweli.π€£π€£π€£
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ila nikiangalia CV za mtu na bintiye, nachoka mie kwa kweli.
Watu tumepambana na kusota huko ki skonga, afu watu wanakula cake ya taifa km hawataki vilee
Jamaniii π’π’
Ya 26 unaenda zako Pakistan na Uturuki?Kule kwao mambo yalirahisishwa sana. Ilikuwa ukipata four inayoning'inia unaonekana mwamba na scholarship unapewa. Ndio maana cv hazieleweki.
Hata mamake ni form 4 failure lkn haoni aibu kuitwa Dr. SamiaCV nzima ya kubumba kiongozi waafrika tuna shida sana
Kwani ukifeli from 4 au 6 ndio kuwa kilaza?Mimi naomba matokeo yake hata ya kidato cha nne tuu....
Advanced diploma mzumbe,post graduate diploma Manchester university, masters open universityWeka elimu yake hapa kama haina kuunga unga ndani yake! Mnaunga unga elimu halafu mnapata kabisa ujasiri wa kutaka kujilinganisha na wengine! Vilaza mnazingua sana.
Kwa Tanzania Elimu haina thamani kwasababu haimsaidii mhutimu kuwa independent kwa maana hiyo ukiwa hausoma sana unaweza kufanikiwa kuliko yule aliyesoma sanaWewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbi
Hujaelewa nini hapo "Elimu Mbalimbali" hahahaaaWanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
β’ Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
β’ Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
β’ Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
β’ Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990β1996)
β’ Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997β2000)
β’ Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001β2002)
β’ Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005β2006), kusaidia kazi za kisheria (βLegal Assistanceβ)
β’ Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007β2008)
Historia ya Kazi
β’ Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) β mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
β’ Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
β’ Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008β2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
β’ Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (βGrowth for Developmentβ) β Uingereza, 2014.
β’ Cheti cha Uandishi wa Sheria (βLegal Draftingβ) β Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
β’ Mafunzo ya Uongozi (βLeadership Developmentβ) β Chuo cha Wawakilishi, 2013.
β’ Kozi ya Kompyuta β Karume Technical Institute, 2003β2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Itakusaidia nini mkuu? Matokeo ya form four na six yatakusadia aje? Muhimu ana degree inayotambulika ya open universityNasubiri
Kwa Tanzania Elimu haina thamani kwasababu haimsaidii mhutimu kuwa independent kwa maana hiyo ukiwa hausoma sana unaweza kufanikiwa kuliko yule aliyesoma saWewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbi
Hao wenye Elimu kubwa wametusaidia Nini?WIzara ya elimu tunawapa watu wenye elimu ndogo, tutatoboa kweli
πππYupo vuzuri
Una-discredit degree za open university?..utafanyaje degree bila principal E mbili na S A level au diploma?