Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

Fikra huru umenena kwa lugha ya ........
 
Rubbish
 
Hongera Sana kwake kwa wasifu huu kumbe anastahili na hajapendelewa..

Nilikuwa sijui kama mj.Rais alisomea Masters ya Economics Sasa nimeelewa kumbe ndio maana amekuwa anahimiza biashara na uwekezaji Kama njia ya kukuza Uchumi na ajira..

Pia kupitia wasifu huu ndio nimefahamu kwamba alikuwa Waziri wa Mambo ya Maendeleo huko Zenji.kabla ya kuwa Waziri wa Muungano..

Kwenye tuzo wasifu umesahau kapewa tuzo ya mchango wake kwenye sekta ya Afya kutoka Care International ya Marekani pia..

Safi Sana Rais chapa kazi menginyatakufuata.
 
Huku Afrika kwenye katiba mbovu kama yetu, unaweza kuagiza utangazwe mshindi wa urais kwa kura uzitakazo. Hizo shahada mbalimbali unapaga ww mwenyewe utakavyo. Ukitaka hata cheo cha kijeshi unapewa. Ndio mambo ya shithole country.
Acha uzushi,kwa wasifu huo wapi wameongea uongo?au chuki zinakusumbua tuu.
 
Umeisoma CV ya Rais? Kipi Ni Cha uongo hapo Juu?
 
Kitendo cha kufanya nchi itulie; watu hawatekwi wala kupigwa risasi, hakuna watu wanatupwa kwenye viroba baharini, watoto waliopata mimba wanasoma, wafanya biashara hawanyang'anywi fedha kinatosha tu kustahili hiyo Honoris Causa
Hiyo tuu inaonesha umahiri wa uongozi wake..

Nikikumbuka Mwendazake alivyokuwa anatumia nguvu pasipohitaji nguvu ndio unajua kabisa kumbe SSH is way better than Mwendazake..
 
Wanasiasa dhaifu wanajitahidi kujivika majohonya kisomi bila kuwa na sifa stahiki. Wapo walionunua udaktari, Phd fake, wanajulikana. Kikwete alimuhonga Kubaki jina la barabara ya old bagamoyo ili yeye apewe udaktari.
Kama huyu:
TAARIFA KWA UMMA
Mkutano mkuu wa vyama vya Kidemokrasia Barani Afrika - Democrat Union of Africa (DUA) uliofanyika Jijini Abidjan, Ivory Coast kuanzia Jumapili tarehe 06 Novemba, 2022 na kuhitimishwa leo tarehe 09 Novemba, 2022 umemchagua Mhe Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo.

Mkutano mkuu wa DUA pia umemchagua Louisa Atta-Agyemang wa chama tawala nchini Ghana, NPP ( New Patriotic Party).

kama Mwenyekiti Mwenza atakayesaidiana na Mh Mbowe kufanya mageuzi ya kimfumo na utendaji ndani ya DUA ili kukidhi mahitaji ya vyama vya mrengo wa kati barani Afrika.

Mkutano mkuu wa DUA umeamua kuwa na wenyeviti wenza wawili ili kurahisisha utendaji na ufuatiliaji wa mkakati wa kueneza itikadi ya mrengo wa kati barani Afrika.

Wenyeviti wenza wataongoza bodi ya watu nane (8) itakayojumuisha makamu wenyeviti kutoka kanda tano za Afrika ambazo ni Kaskani (Morocco), Magharibi (Togo/ Nigeria), Kati (Equatorial Guinea) Mashariki (Kenya) na Kusini (Malawi).

Kikao cha kwanza cha bodi ya DUA kilichoongozwa na Mh Mbowe kimeamua kuhamisha makao makuu ya sekretariati ya DUA kutoka Accra Ghana kwenda Afrika ya Kusini.

Kwa nafasi hii, Mhe Freeman Mbowe atakuwa mmoja wa makamu wenyeviti wa Umoja wa vyama vya Kidemokrasia Duniani- International Democrat Union (IDU) kutokea Afrika.

Imetolewa leo tarehe 09 Novemba, 2022 Jijini Abidjan, Ivory Coast.

My Take;
Uwezo wa Freeman Mbowe na uimara wake unatambulika miongoni mwa wanasiasa ulimwenguni.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi
 
Kiwango cha upuuzi cha wasomi wetu, nadhani kinazidi nchi zote Afrika. Si ajabu panaitwa "jalalani university".

Wote wanatoka udenda kwa vyeo vya kuzawadiwa na wanasiasA. Tuna safari ndefu sana.
 
Kiwango cha upuuzi cha wasomi wetu, nadhani kinazidi nchi zote Afrika. Si ajabu panaitwa "jalalani university".

Wote wanatoka udenda kwa vyeo vya kuzawadiwa na wanasiasA. Tuna safari ndefu sana.

Babu wewe punguza makasiriko hii ni degree ya heshima tu.
 
Babu wewe punguza makasiriko hii ni degree ya heshima tu.
Sio makasiriko, hii heshima ni Ahsante yao kwa ule uhuru waliokuwa nao hivi sasa kupiga fedha za vyuo bila kuogopa. Wakati ule waliishi kwa mishahara.
 
Sio makasiriko, hii heshima ni Ahsante yao kwa ule uhuru waliokuwa nao hivi sasa kupiga fedha za vyuo bila kuogopa. Wakati ule waliishi kwa mishahara.

Kama wangependa kujipendekeza wangefanya hivyo kipindi kile, UDSM bado kina heshima yake wanatambua mchango wa SSH.
Hii ndiyo tathimini fupi mabaraza ya watu wenye heshima wameona mchango wake kwenye Jamii.
 
Hastahili hiyo PhD bora hata yule tumbili wa wazuri hawafi
 
Kitendo cha kuwa rais hata kama ni kwa bahati mbaya tayari ni ugunduzi tosha

We huoni katika watu karibia milion 60 rais ni yeye tu, kaugundua urais
Unajua maana ya kugundua lkn??? Yaan hata kuona huo urais hakuwahi kuona bali alionyeshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…