Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

Rais Paul Kagame alichelewesha kupitishwa kwa uteuzi wa Siwa toka August 2014 hadi Mei 2015 ambapo hatimaye aliruhusiwa kuwasilisha kitambulisho chake, na hivyo kumaliza tetesi za vyombo vya habari kwamba Kagame amekataa chaguo la Kikwete la kuwa mjumbe mpya wa Tanzania mjini Kigali.

Mwamba kama mwamba..
Kagame alikuwa anajua kaletewa mtu wa aina isiyo mchezo.
Na wakati huo Kikwete ana bifu na Kagame.
 
Sijawai kuwaamini wenyeviti wa BODI ZA MASHIRIKA YA UMMA na MASHIRIKA BINAFSI makubwa makubwa, RC, RAS, DC, DAS, DG wa mashirika ya umma yote, wakuu wa shule kongwe zote, ma DED wote ni watu wa mfumo. Beware mwana jf
Kuwaamini ?!!!

Kwa hiyo wasingekuwa hao usiowaamini ungewaamini ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Sijawai kuwaamini wenyeviti wa BODI ZA MASHIRIKA YA UMMA na MASHIRIKA BINAFSI makubwa makubwa, RC, RAS, DC, DAS, DG wa mashirika ya umma yote, wakuu wa shule kongwe zote, ma DED wote ni watu wa mfumo. Beware mwana jf
Hilo lisikutishe mkuu, ukiona watu wako na amani na nchi imetulia, ujue kuna watu wako kazini.
 
Ndo maana alibaki kuwa mwenyekiti wa Bodi tu.Sasa karudishwa tena kwenye kazi za kuhitaji akili. HUYU NI MBABU NA ATAKUWA NA MIAKA 70.
Kwa hiyo mwenye afya njema akiwa na miaka 70 IQ humpungua?!!!

Are you serious dude?!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Back
Top Bottom