Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

Hilo lisikutishe mkuu, ukiona watu wako na amani na nchi imetulia, ujue kuna watu wako kazini.
Acha kubrainwash watu..taja viashiria vya ukosefu wa amani hapa Tanzania kuthibitisha hao walio kazini wanafanya kazi..
Mara nyingi mnatengeneza taswira km vile Tanzania raia wake ni wahalifu na matukio ya uhalifu wa kidola ni mengi..si kweli!
Kagame alikuwa anajua kaletewa mtu wa aina isiyo mchezo.
Na wakati huo Kikwete ana bifu na Kagame.
Hakuna lolote..Kagame aogope mtu hata vita ya Uganda hajawahi kupigana, mbona huwa hamsemi kilichotokea darfur kwa watunza amani kutoka Tanzania wakati viongozi hawa wawili wakilumbana? Nini kilitokea..
Mtu yuko kwenye umri ambao graph ya utambuzi wa asili inashuka chini unadhani ana jipya gani kwa sasa..zaidi ya kuonyesha kuishiwa watu wenye uwezo kwa nafasi hiyo..recycling tafsiri yake mara nyingi si njema.
 
View attachment 2731607Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani.

Mwaka 2014, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, alimteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda, nafasi aliyoihudumu mpaka mwaka 2018.​

September 2018, aliteuliwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli kuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini NSSF, nafasi ambayo alikuwa anaitumikia mpaka mwaka huu.
Kaja kutimiza mkakata rasmi wa dp wodi maana kakaa sana huko kikazi anawajua vilivyo
 
Hivi kazi ya usala wa taifa ni ipi hasahasa make sielewagi mimi kazi yao,,,kama tunagawa mboni za taifa let nawao wapo sasa usalama up wanaoulinda sasa
 
View attachment 2731607Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani.

Mwaka 2014, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, alimteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda, nafasi aliyoihudumu mpaka mwaka 2018.​

September 2018, aliteuliwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli kuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini NSSF, nafasi ambayo alikuwa anaitumikia mpaka mwaka huu.

Tunatawaliwa kijeshi...

Mark my words
 
JK Team inaendelea kula mema ya nchi. Mstaafu anarudi ofisini unategemea mawazo gani mapya zaidi ya kumlinda aliyemteua iwe jua iwe mvua?. Hapo hakuna faida kwa taifa labda kwa aliyemteua
ni shida sana mkuu hawa wote ni chawa wao, fikiria spika wa bunge ni chawa wa serikali
JK Team inaendelea kula mema ya nchi. Mstaafu anarudi ofisini unategemea mawazo gani mapya zaidi ya kumlinda aliyemteua iwe jua iwe mvua?. Hapo hakuna faida kwa taifa labda kwa aliyemteua
 
View attachment 2731607Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani.

Mwaka 2014, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, alimteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda, nafasi aliyoihudumu mpaka mwaka 2018.​

September 2018, aliteuliwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli kuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini NSSF, nafasi ambayo alikuwa anaitumikia mpaka mwaka huu.
Mzee alizaliwa mwaka gani
 
Hakuna cv hapo au hujui maana ya Cv
 
Mkiendelea kushangaa ulaji wa watu,

Nabii Mdude na Mwambukusi hawajulikani walipo.
 
Sijawai kuwaamini wenyeviti wa BODI ZA MASHIRIKA YA UMMA na MASHIRIKA BINAFSI makubwa makubwa, RC, RAS, DC, DAS, DG wa mashirika ya umma yote, wakuu wa shule kongwe zote, ma DED wote ni watu wa mfumo. Beware mwana jf
Kama ma-DED nao ni watu wa vitengo basi hapo kuna shida kwani hao ndio wanaoongoza Kwa kupiga pesa za miradi zinazoletwa halmashauri na kudhulumu haki za watumishi
 
Back
Top Bottom