Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

Soma na hii kisha tumjadili vizuri.Huyu anapaswa kwenda kucheza na wajukuu....
 
Kiapo cha kifo upuuzi, huwezi kuwa na mkurugenzi amepita umri wa kustaafu atalet jipya gani??

Hivi mnaamini investigations zipo kwenye era za zamani

GENTAMYCINE anawaambiahmga kila siku ila mnamchukuliaga kama mwendawazimu
Mwanadiplomasia...

CV yake imeshiba...

Amekaa nje sana....anajua mabadiliko ya maisha ya dunia....
 
Rais Paul Kagame alichelewesha kupitishwa kwa uteuzi wa Siwa toka August 2014 hadi Mei 2015 ambapo hatimaye aliruhusiwa kuwasilisha kitambulisho chake, na hivyo kumaliza tetesi za vyombo vya habari kwamba Kagame amekataa chaguo la Kikwete la kuwa mjumbe mpya wa Tanzania mjini Kigali.

Mwamba kama mwamba..
Hii kitu ipo sana .Kabla ya kwenda kituoni taarifa zako lazima ziwe kule ikiwemo ku process visa na ma document kibao kujiridhisha na mteuliwa. Sema sijui sana . Wenye access na vitengo ndio wanajua zaidi
 
TISS kunani? Kwa vipindi vifupi wakuu wake watatu wanabadilishwa ndani ya awamu moja? Kuchamba kwingi?

"Stability of tenure" kwa wateule wa Rais ni kitu cha maana mno kwa mamlaka yenyewe ya uteuzi na wateuliwa pia. Mabadiliko ya mara kwa mara na ya vipindi vifupi vya "regime" zao hudhihirisha kushindwa kwa mamlaka ya uteuzi kufanya *vetting" ya uhakika kwa wale wanaoteuliwa.

Kwa kadiri ofisi nyeti zinaposhikwa na watu wengi kwa vipindi vifupi, ndivyo kadiri ya uwezekano wa kuvuja kwa "classified information" ambazo ndicho chakula kikuu cha Mkuu wa nchi.

Ndiyo! Watu huwa na viapo vya kudumu na vya maisha kuhusu kutunza siri, lakini pale wanapoona Mkulu anapwaya hufanya yale yapaswayo zaidi kufanyika kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa. Ofisi nyeti haipaswi kuendeshwa kupitia "trials & errors approach" bali kwa mahitaji halisi na matakwa ya wakati.
 
.... presidential decree...
 
Ndo maana alibaki kuwa mwenyekiti wa Bodi tu.Sasa karudishwa tena kwenye kazi za kuhitaji akili. HUYU NI MBABU NA ATAKUWA NA MIAKA 70.
Kama kule marekani yule mwanadiplomasia nguli ambaye ni director wa central mbona nae umri ni kama wa huyu tu shida sio umri je ana uwezo kama uwezo upo basi acheni afanye kazi yake vizuri.
 
...Mwenyekiti wa Bodi ya Waadhamini ya NSSF, Balozi Ali Idi Siwa amewahakikishiwa wanachama wa NSSF kuwa Mfuko upo imara na kwamba una uwezo wa kuendelea kuwalipa Mafao mbalimbali kwa zaidi ya miaka 40 ijayo
Huyu aliyezungumza haya maneno alikuwa akielewa alichokuwa akikizungumzia kweli?

Hao aliokuwa akiwaeleza haya maneno wakiwa na akili zao sawasawa, nao kweli walimwelewa na kukubaliana naye?

Kwani mtu kuwa 'mjinga' ni mpaka awe wa namna gani mtu huyo jameni?
 
Back
Top Bottom