P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Aug 31, 2023 #81 Hoaxer said: Sio kwa Nia mbaya, huyu mwamba ana umri gani? 77 nilikua darasa la saba, Sasa hivi nimestaafu. Click to expand... Jakaya kastaafu vyote ila sio kazi yake ya mwanzo kabisa kuajiriwa kuna kazi unastaafu mara tu oxygen inapogoma kuingia mwilini
Hoaxer said: Sio kwa Nia mbaya, huyu mwamba ana umri gani? 77 nilikua darasa la saba, Sasa hivi nimestaafu. Click to expand... Jakaya kastaafu vyote ila sio kazi yake ya mwanzo kabisa kuajiriwa kuna kazi unastaafu mara tu oxygen inapogoma kuingia mwilini