Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

huyu ni jirani kabisa hapa kibaha ya ndege nyumba yake na ya kwetu zinatizamana kwa ukaribu
mkubwa sana nasikitikia tu yule mke wake ambae mh:-akiwa bungeni vijana kama sisi tulikuwa tunaruka nae sana tu.
 
Wala siyo siku hizi tu. Hata zamani.

Kabila, umri, kimo, uzito wako, rangi yako ya ngozi, na vitu vingine kama hivyo ni irrelevant!
wewe Ngabu usiwe mbishi, CVs nyingi kama sio zote zamani zilikuwa zikiandikwa hivyo, hata yangu labda niifanyie update sasa hivi, but ilikuwa inaonesha hayo mambo ya kikabila na maritus ststus, inawezekana wewe ni wa kisasa sana
 
Kabila hapana big no hii ilianza kipindi cha Bwana yuleeee.
 
wewe Ngabu usiwe mbishi, CVs nyingi kama sio zote zamani zilikuwa zikiandikwa hivyo, hata yangu labda niifanyie update sasa hivi, but ilikuwa inaonesha hayo mambo ya kikabila na maritus ststus, inawezekana wewe ni wa kisasa sana
Ah wapi!

Hizo taarifa haziwekwi kwenye resumé.
 
Yaani nchi ilifikishwa pabaya sana,fikiria Waziri wa Ujenzi Msukuma Naibu Waziri Msukuma [emoji205].

Mwinyi alipoondoka kapewa Ulinzi,Bwana yulee alikuwa mkabila kupitiliza.
CV yake inajiuza yenyewe, unamwona hatoshi kwenye position hizo alizopita??
 
Ukabila mtupu. Huyu aliandika CV alijua atapewa nafasi ya uteuzi Kama akiweka kabila..wengi mawaziri wa sasa waliokuwepo enzi za mwendazake walikua hivi ..Kama si kabila ukada wa Chama pia ndio ilikua kigezo...hata ukada wa Chama haitakiwi kwenye nafasi za kiserikali...lakini hawa wanaweka maana ndio kigezo kikuu kwao.... mwendazake aliharibu hii nchi Sana..
 
Kwa hiyo Samia naye alimteua kuwa waziri wa ulinzi baada ya kuona kabila lake kwenye resumé?
 
Kwanza inaonekana hujaoa na huna mpango wa kuoa. We unashangaa marital status wakati mwajiri anauliza hadi number of children ili ajue anakatia bima watu wazima wangapi na watoto wangapi.

Kuhusu kabila kwenye CV si kosa na si ajabu. Inaonekana we hupendi kabila lako wala hutaki kurudi kijijini kusalimia babu na bibi zako na kama hutaki subiri uingie mikononi mwa polisi uone atakavyosoma CV yako kama hajataja kabila lako. Kwenye makabila ndo kuna tamaduni, mila na desturi. Kama huyataki haya basi hujui historia ya nchi na unataka kuendekeza u-magharibi.
 
Ukabila mtupu. Huyu aliandika CV alijua atapewa nafasi ya uteuzi Kama akiweka kabila..wengi mawaziri wa sasa waliokuwepo enzi za mwendazake walikua hivi ..Kama si kabila ukada wa Chama pia ndio ilikua kigezo...hata ukada wa Chama haitakiwi kwenye nafasi za kiserikali...lakini hawa wanaweka maana ndio kigezo kikuu kwao.... mwendazake aliharibu hii nchi Sana..
Jina lako umejitambulisha kama nderingosha?. Kama hupendi ukabila futa surname/family name/jina la ukoo kwenye kitambulisho chako cha NIDA. Halafu hakuna mbunge anayeandika CV yake bila kuweka ukada wa chamba chake tusichangie bila kufikiria.
 
Kwanza inaonekana hujaoa na huna mpango wa kuoa. We unashangaa marital status wakati mwajiri anauliza hadi number of children ili ajue anakatia bima watu wazima wangapi na watoto wangapi.

Kuhusu kabila kwenye CV si kosa na si ajabu. Inaonekana we hupendi kabila lako wala hutaki kurudi kijijini kusalimia babu na bibi zako na kama hutaki subiri uingie mikononi mwa polisi uone atakavyosoma CV yako kama hajataja kabila lako. Kwenye makabila ndo kuna tamaduni, mila na desturi. Kama huyataki haya basi hujui historia ya nchi na unataka kuendekeza u-magharibi.
Mwajiri anakatia bima watoto!?

Mwajiri gani huyo?

Nyie watu mna akili ndogo sana aisee.

Yaani kabisa unaona kuweka marital status na idadi ya watoto ulionao kwenye resumé ni sawa?

Resumé ni muhtasari wa qualifications zako ulizonazo.

Hali ya kindoa, idadi ya watoto, kimo chako, rangi yako, idadi ya kaka na dada ulionao, wajomba zako, shangazi zako, babu na bibi yako, majirani zako, na kadhalika, havihusiani na chochote kuhusu sifa ulizonazo katika muktadha wa kuomba kazi.
 
Nimegundua wewe ni kijana mdogo, na kama ni mtu mzima basi una shida sehemu !!, kama hujui kuwa waajiri huwa wanakatia bima za afya wafanyakazi wao basi una shida sana ya utambuzi wa mambo, anyway, uwe na siku njema
 
Really? Waajiri gani hao? Na

Na hiyo ndo sababu ya kuweka idadi ya watoto ulionao kwenye resumé?

Y’all are too dumb!
 
Mwajiri anakatia bima watoto!?

Mwajiri gani huyo?

Nyie watu mna akili ndogo sana aisee.

Yaani kabisa unaona kuweka marital status na idadi ya watoto ulionao kwenye resumé ni sawa?

Resumé ni muhtasari wa qualifications zako ulizonazo.

Hali ya kindoa, idadi ya watoto, kimo chako, rangi yako, idadi ya kaka na dada ulionao, wajomba zako, shangazi zako, babu na bibi yako, majirani zako, na kadhalika, havihusiani na chochote kuhusu sifa ulizonazo katika muktadha wa kuomba kazi.
Duh! naamini siyo mimi tu mwenye wasiwasi na uelewa wako. Yaishe tu endelea kupambana na wengine labda watakuelewa
 
Mkuu ungeachana na izo mambo ungetupa yote in full tyone mpaka kindergarten
 
huyu ni jirani kabisa hapa kibaha ya ndege nyumba yake na ya kwetu zinatizamana kwa ukaribu
mkubwa sana nasikitikia tu yule mke wake ambae mh:-akiwa bungeni vijana kama sisi tulikuwa tunaruka nae sana tu.
Hope mlikuwa mnavaa ndomu.
 
Back
Top Bottom