Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Yaani wakapime kabisa. Hawajiulizi why Coronavirus imemchukua at his 55.Wala hakuwa na Obesity wala nini.Shauri zenu 1980s disease
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wakapime kabisa. Hawajiulizi why Coronavirus imemchukua at his 55.Wala hakuwa na Obesity wala nini.Shauri zenu 1980s disease
Ww utakuwa mpuuzi kweli.....View attachment 1878290
Other name? Siyo ‘Middle name’?
Sex?
Marital Status?
Tribe?
Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika.
Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé .
Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye resume?
Labda ni huu ushamba wangu tu! Ila nakumbuka vizuri sana kwenye capstone course nilipofundishwa jinsi ya kuandika resumé, hizo taarifa hupaswi kuziweka kabisa hapo!
Huwa unawaweka na wanaokukula tigo yako kwenye huo wasifu?Ww utakuwa mpuuzi kweli.....
yani unataka wasifu tunavyoandaa kivyetu basi ufanane na hao unaowafulia vyupi!!?
Nadhani ww ndio unaweka za hao wanaoshughulikia tigo yako......Huwa unawaweka na wanaokukula tigo yako kwenye huo wasifu?
nadhani hiyo huwa ina kwenye employee Bio data form ndo huwa kwenye mtindo huoNi kawaida kuweka marital status kwenye resume....suala la kabila lina ukakasi.
kuna baadhi ya waajiri wanatoa bima ya afya kwa familia ila wasizidi watoto watatu pia inategemea nafasi yako kwenye kampuni husika hasa mashirika ya kimataifa yaliyo nchini wanatoa hiyo ni kwa uzoefu wangu binafsiMwajiri anakatia bima watoto!?
Mwajiri gani huyo?
Mambo ya bima, makato ya kodi, etc., yanakuja baada ya kuwa umeshapewa offer ya kazi na umeikubali.kuna baadhi ya waajiri wanatoa bima ya afya kwa familia ila wasizidi watoto watatu pia inategemea nafasi yako kwenye kampuni husika hasa mashirika ya kimataifa yaliyo nchini wanatoa hiyo ni kwa uzoefu wangu binafsi
Ok nimekuelewa na uko sahihi hiyo ni kweli na hizo detail nadhani huwa ni kwenye form ya uajiri baada ya kuajiriwa huwa si kwenye CV labda hizo za kizamani wanazosemaMambo ya bima, makato ya kodi, etc., yanakuja baada ya kuwa umeshapewa offer ya kazi na umeikubali.
Hapo ndipo utajaza mafomu mengine na mambo ya dependents ndo yako huko.
Unaweka idadi ya dependents kwenye resumé ili iweje?
Unaweka kabila lako kwenye resumé ili iweje?
Kama kuweka kabila ni sawa, kwa nini usiweke na dini yako?
Kwa nini usiweke na kimo chako?
Kwa nini usiweke na uzito wako?
Kwa nini usiweke hali yako ya kiafya?
Marital status unaweka ya nini?Marital status ni sawa kuweka,ila religion or tribe si sawa. Kwa religion labda kama unaomba kazi za Kanisa au msikiti,unaweza kuandika au pia kama kwenye tangazo la kazi umesisitiziwa kuandika imani yako
Wewe si single gay man na una miaka 50? Goes to show the reason you are making such a ruckus is because you’re a stand- out queer in the eyes of normal general society in this beloved country of ours. Tanzania is not America; and definitely not Atlanta or San Fransisco, places where you gays rule.Kazi gani hizo ambazo hutaka watu walio single?
Kuwa single au married hakuhusiani chochote na utendaji kazi wa mtu!
Haitoshi, haitoshi. Taaluma proper waziri wa ujenzi ni mhandisi. Kapelekwa ulinzi lakini hakuna mahali panapo onesha alipita jkt, sawa na Mwinyi jnr aliesepa jkt baadae akawa wzr wa ulinzi.CV yake inajiuza yenyewe, unamwona hatoshi kwenye position hizo alizopita??
Kuna nature ya kazi hiyo ni muhimu kuwekaMarital status unaweka ya nini?
Kazi gani kwa mfano?Kuna nature ya kazi hiyo ni muhimu kuweka
Unajua jeshini kutoa mpaka kibali?Kazi gani kwa mfano?
Jiwe hakuwa mkabila ila tu it happened kwamba alimpenda kila mtu lakini wa kwao zaidi. Au labda tuseme kuna watu walikuwa na bahati naye mfano kina kijazi aliwabeba japo sio wa kabila lake.Yaani nchi ilifikishwa pabaya sana,fikiria Waziri wa Ujenzi Msukuma Naibu Waziri Msukuma [emoji205].
Mwinyi alipoondoka kapewa Ulinzi,Bwana yulee alikuwa mkabila kupitiliza.
Hujajibu swali langu mbona…
View attachment 1878290
Other name? Siyo ‘Middle name’?
Sex?
Marital Status?
Tribe?
Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika.
Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé .
Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye resume?
Labda ni huu ushamba wangu tu! Ila nakumbuka vizuri sana kwenye capstone course nilipofundishwa jinsi ya kuandika resumé, hizo taarifa hupaswi kuziweka kabisa hapo!
Naam.Wanaofundisha mambo haya ya business communication, kwenye kipengele cha CV husema hivi: Japo tumekupa maarifa haya ya uandishi wa CV, bado CV yako itatofautiana na ya wengine kutokana na anaendikiwa CV. Yani, unawaandikia kina nani kwa malengo gani. Hivyo, huwezi jua huyo bwana alikusudia nini na kwa nani.
note
Siamini kama hiyo screenshot ina ukweli. Ninajadili hoja ya kitaaluma iliyojitokeza tu