Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

Mzee wa hizi anavyowa kimbiza mangwine! Hahahaha, kumbe wanasayansi ndio maana wanaogopwa na wanasiasa "asili"

images.png
 
Membe ni JANGA HATOKUWA RAIS WA NCHI HII LABDA NIFE.


Yes, Watu wa Kitengo zamani walikuwa wakichelewa kuoa kutokana na majukumu pamoja na vetting kali ya wenza wao

Lakini hebu cheki CV ilivyoshiba, huyu mtu kapitia kwenye mifumo yote ya kuandaa viongozi, yaani kapikwa haswaa, Sijui CCM walimpata wapi huyu mkazi wa Magogoni wa sasa!. Wametuletea disaster katika nchi!
 
Back
Top Bottom