Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Who's our VP, Dr Philip Mpango. Sitaki CV yake. Hiyo ninayo. Nataka kumfahamu kwa undani sana. JF haijawahi kushindwa. "Who's Philip Mpango"?
Ni Mburundi aliyechangamka Kiukatili akiwa Tanzania na ndiyo Mmoja wa Waandamizi wa Operation zote za Kiunyonyaji na Kiutesaji alizokuwa akizifanya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Ole Sabaya ambaye hata Yeye alimtaja pia.
 
Itakuwa labda anatamani aliepo afe ili aukwae Urahisi wa Tanzania,Wana CCM wamefungua njia mupya,CCM bana hawashindwi japo kuangushana wao kwa wao ,ni hatari isiyojulikana kuwemo CCM unapokuwa pale kwenye nofu kubwa.
 
Na majina yake yatajwe yote labda tutakua na pakuanzia😂
Philip Isdor Mpango Zabayanga 😀😂
Anatokea Kijiji Cha Kasumo Buhingwe Mpakani Mwa Tanzania Na Burundi!!!
 
“Bohoro bohoro “😄😂
Alikosea Siku Alipoapishwa Akataja Hilo Jina Zabayanga Likaleta Ukakasi 😀😂😁😃
Watu Wakashikilia Hapo Hapo

Yemwa Imana Ilakubonye (Mungu Anakuona)
Inama Niyonkulu
 
Ni mtu mwenye wivu na maendeleo ya wenzake Tanzania hii hakuna mfano.
 
Naona kuelekea uchaguzi wa 2025 kamati ya fitna na majungu mumeanza kazi
 
Kutukana mtu sababu ya maoni yake, sidhani kama itakuongezea kitu katika kipato chako,
Pengine malezi yako ndo yamekufanya uwe hivo ulivo.
Muha wa nyoko labda, amezaliwa , kulelewa na kusomea Burundi, kavuka mpaka na kuingia Tanzania.
 
Philip Isdor Mpango Zabayanga 😀😂
Anatokea Kijiji Cha Kasumo Buhingwe Mpakani Mwa Tanzania Na Burundi!!!

Kwahiyo Hakuna watanzania wanaoishi mipakani? Kuzaliwa mopakani ni kosa? Tuache upoyoyo
 
Itakuwa labda anatamani aliepo afe ili aukwae Urahisi wa Tanzania,Wana CCM wamefungua njia mupya,CCM bana hawashindwi japo kuangushana wao kwa wao ,ni hatari isiyojulikana kuwemo CCM unapokuwa pale kwenye nofu kubwa.
hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…