Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Nimewahi kufanya nae kazi kwa mwaka mmoja, ni Mtaalam sana wa masuala ya uchumi na International trade. Na taasisi ilikua inadeal na mambo haya
 
Hapa dodoma maeneo ya Mipango kuna mbunge wa kahama anaitwa kishimba Mzee wa bora watoto waende darasani saa nne baada ya kufanya kazi.

Mbona yuko social sana na watu wa eneo hilo, anplot kubwa ya nyumba za kupangisha akirud toka vikaoni mbona tunapiga nae sana story za maisha na ananunua mpaka mahindi ya kuchoma anakula.

Hizi tabia za kuvimba ni za watu walee wanaopenda majivunooo tuu hizo mambo za unyenyekevu huwa ni asili na kizazi huchangia cha miaka gani au kilipitia nini?

Ila hawa tunaongalia moviee za majambazi, ma don full ulinzi na kutaka kua kama Mungu mtu ndio tupo wengi.

ha ha ha sasa unakuta anapiga na vipicha kachafua meza akiwa mtumishi wa kawaida awe waziri unategemea nini ?
 
Kwenye historia ya somo la uchumi (Economics) Hapa nchini Tanzania IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL ni Moja ya jiko Bora kabisa......

Enzi izo HEADQUARTER ya IHUNGO ilikua.....ELGON 12.

Hongera kwake pia All the best katika post Yake mpya as Vice president.
 
Nimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh. Makamu wa Rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.

Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu?
 
Hakuna Jipya Hapa!!!
Ngoja Waje Wa Kasumo Buhingwe
 
Subiri Sasa UVCCM watakavyompandikiza roho mbaya.
Watamfundisha kuchoma wapinzani sindano za sumu badala ya risasi,baada ya kugundua kuwa risasi zao haziui Tena,kwa kuwa zime expire.
Kwani katokea Chadema?
 
Huyu bwana watu hawajuitu. Huyu ni jembe kweli kweli. Watanzania wanapoona nchi yetu imeongeza kasi ya ukusanyaji mapato, pamoja na Kusimamia Miradi yote ya kimkakati basi Dkt Mpango Anahusika.

Hivyo nimpongeze Mama Yetu Samia kwa kutambua mchango wa Dkt Mpango na kweli Atamsaidia sana kwenye kusimamia Utekelezaji wa malengo yote Tuliyojiwekea kama nchi.
 
Nimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh.Makamo wa rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.

Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu??

Unajua siwaelewi.
Narudi makamo ni kibaraka tu.
Hii nchi ni ya Samia full stop.
Mama apangiwi kusikiliza au kutekekeza ushahuri wa mpango.
 
Nimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh.Makamo wa rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.

Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu??
mchumi yumo mikononi mwa nchi
 
Back
Top Bottom