Huyu angefaa sana kufanya kazi za kiroho kuliko za kisiasa maana kielimu chake cha upadri kingewasaidia sana Wakatoliki ambao siku za hivi karibuni mapadre wao wamekuwa sio waaminifu sana katika maadili!!
Halafu ilikuwaje Slaa kuwa katibu mkuu wa chama cha vipofu tanzania? Kwani miaka hiyo ya 90 alikuwa hana macho? Naomba ufafanuzi kidogo!!!
Mimi nimesoma viwango vya elimu vya wagombea wote wa Urais na kwa kweli Profesa Ibrahim Haruna Lipumba hakuna anaemfikia kwa elimu alionayo!!! Kwanza slaa ndio kabisaa yaani hata robo yake haifikii elimu ya Profesa!!!