Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Lipumba ana CV nzuri lakini ni mdini, kashindwa hata kujenga chama chake. After all wezi wote wakubwa wa nchi hii ni wasomi.

kisimani acha hizo Profesa mdini wapi toa hoja za msingi sio kwakuwa unapata wasaawa kuchangia ndo unaropoka
 
Mkuu wangu hawa makamanda wana mapenzi mabaya sana Chadema imewapa upofu.

Lema kachekama vibaya kwenye CV wanasema wao wanaangalia mtu hawana haja na CV teh teh teh.

Angekuwa mtu mwingine wangemuita majina mengi mara kilaza, pimbi, lakini Lema wote kimya.


Inabidi tuangalie mtu na sio uchama, mi naona hapa uchama ndo umewajaa watu badala watoe mawazo yao kuhusu hiyo CV kama ina ukweli wao wanarukaruka tu na kutukana.
 
A CV is just a piece of paper like any other e.g a serviette paper; and who cares about the contents of that piece of paper?!
We the people of Arusha and particularly members; followers nad fans of CHADEMA tuliomchagua na kumtuma GJL mjengoni hatuna haja ya kujua kilichoandikwa ndani ya CV yake, tunachojali zaidi ni kama anakidhi mahitaji na matakwa yetu.

If you are a who is who in Tanzania; tafadhali weka VC yako hapa for comparison na hii ya GJL, But if you are a none entity then achana nayo kwa sababu hatuna jinsi ya kui-authenticate.

So the magical question here is: Is GJL performing and meeting Arusha peoples expectations? the answer is YES INDEED; and gallantly so. kama hutaki kuamini tafadhali make time mtafute Savimbi Mwigulu Nchemba (May he rot in hell!) atakwambia GJL: ni nani Nji hii.

Bravo GJL; stay focused on your noble cause. A new Tanzania; The Tanzania we want; free of Che_Che_Mea a.k.a CCM psycophants, embezellers and the corrupt.

Elimu ni muhimu kwa kiongozi, elimu anamfanya kiongozi kuwa na upeo na ufahamu.
 
Naona unataka kulazimish vitu kwa mapenzi yako, Lema hayumo kwenye orodha ya wanafunzi waliosoma Cambridge, hiyo ya kusoma online sijui umeipata wapi.

Weka basi huo ushahidi tuone hiyo online diploma/degree, bora Mrema tuliona degree yako.

Kwa hiyo unatuambia Lema bado yupo kwenye masomo.
Siyo kwamba namtetea Lema,ila ndivyo nilivyolielewa hilo jedwali ulobandika hapo juu.Kwenye hiyo section ya Cambridge inaonyesha ni a work in progress.Sasa labda ungemwuliza kama hiyo degree ni ya online since yuko tz.
 
Kwa habari nilizozipata lema alizaliwa 1963 amepunguza miaka

kapunguza ili iweje? wanaopunguza huwajui? uzuri mmoja sio lazima mtu aseme, historia ya mtu na sura vinaweza kueleza umri. naona wewe unapenda lema awe mtu mzima, hujachumbiwa bada dd? ila lema ni mume wa mtu tiyari
 
CV Yahuuuuu sie tunataka MBUNGE anayelete tija....!!
 
Baada ya kumaliza A level uliishia hapo hapo au uliendelea na shule?

BTW inawezekana wewe umesoma kwa MITAHARA kama hapo kwa red, na mwenzio Lema hakusoma kwa MITAHARA.

FYI: MITAHARA ni spesheli kwa MATAAHIRA.

Unataka kujua kama niliendelea baada A-Level sidhani kama ni muhimu sana ila kwa faida yako niliendelea na chuo mwaka 1998 nikisoma lugha kwa mwaka 1 na nusu 1999 mpaka 2003 degree na 2005 mpaka 2007 master. Je umeridhika? Asante kwa kuniita taahira mungu akubariki.
 
Hauna jipya lema ni kamanda mchapakazi ndio kitu muhimu katika jamii sio cv mzuri mwizi na wauza madawa ya kulevya
 
Unataka kujua kama niliendelea baada A-Level sidhani kama ni muhimu sana ila kwa faida yako niliendelea na chuo mwaka 1998 nikisoma lugha kwa mwaka 1 na nusu 1999 mpaka 2003 degree na 2005 mpaka 2007 master. Je umeridhika? Asante kwa kuniita taahira mungu akubariki.

Mkuu Wakuti,

Pole sana hao ndiyo Bavicha wengi wao wana PhD za matusi.
 
Last edited by a moderator:
Swala hapa ni udanganyifu ndio anachoongelea RITZ haijalishi kama CV ndogo au kubwa.
 
Mwaka 2015 katiba mpya iseme wazi wazi mbunge lazima awe na Degree teh teh teh
 
Nyie Chadema msiwe ndumilakuwili CV ya ovyo hivi ingekuwa ya waheshimiwa wengine ungesikia kashfa zenu. Sasa tunaelewa kwa nini Lema yuko kama alivyo. Ni mtu wa hovyo sana. Lakini wafuasi wa Chadema ni watu wa ajabu. Tunamuongelea Lema katika nafasi ya ubunge sasa matusi ya baba zetu majumbani kwetu yanakujaje hapa? Lakini mbaya zaidi Lema ameifanyia nini Arusha tangu aingie madarakani? Mbona kama Arusha inarudi nyuma kiuchumi? Hiyo ndiyo siasa tunayoitaka sidhani. Let us call a spade a spade not otherwise. Thank you.

umeiona,.ya...majimarefu?
 
Eti Lema kasoma Degree UK lakini akumaliza, teh teh teh siasa hizi.

Pale kwa Lukuvi mbona kako blank alimaliza hili? Lema hata angekuwa ni form four leaver but hakuna mburura wa SSM anamfikia kwa kuangalia mambo kwa undani, nasema hakuna. huko kwenu kumejaa vyeti fake hadi vya watoto wenu mnaowachomeka kufanya kazi kwenye taasisi zenye maslahi nao elimu zao ni za mashaka!!! Kamuulize Magai wa IMMA alimwambia nini yule dogo wa dili ambaye hakuwa anaweza kuandika hata legal sentensi moja!!! Ila dili za China na shareholding kwa makampuni yanayokwepa kodi kama Home Shopping Centre yuko front!!
 
Back
Top Bottom