Lipumba ana CV nzuri lakini ni mdini, kashindwa hata kujenga chama chake. After all wezi wote wakubwa wa nchi hii ni wasomi.
Mkuu wangu hawa makamanda wana mapenzi mabaya sana Chadema imewapa upofu.
Lema kachekama vibaya kwenye CV wanasema wao wanaangalia mtu hawana haja na CV teh teh teh.
Angekuwa mtu mwingine wangemuita majina mengi mara kilaza, pimbi, lakini Lema wote kimya.
A CV is just a piece of paper like any other e.g a serviette paper; and who cares about the contents of that piece of paper?!
We the people of Arusha and particularly members; followers nad fans of CHADEMA tuliomchagua na kumtuma GJL mjengoni hatuna haja ya kujua kilichoandikwa ndani ya CV yake, tunachojali zaidi ni kama anakidhi mahitaji na matakwa yetu.
If you are a who is who in Tanzania; tafadhali weka VC yako hapa for comparison na hii ya GJL, But if you are a none entity then achana nayo kwa sababu hatuna jinsi ya kui-authenticate.
So the magical question here is: Is GJL performing and meeting Arusha peoples expectations? the answer is YES INDEED; and gallantly so. kama hutaki kuamini tafadhali make time mtafute Savimbi Mwigulu Nchemba (May he rot in hell!) atakwambia GJL: ni nani Nji hii.
Bravo GJL; stay focused on your noble cause. A new Tanzania; The Tanzania we want; free of Che_Che_Mea a.k.a CCM psycophants, embezellers and the corrupt.
Siyo kwamba namtetea Lema,ila ndivyo nilivyolielewa hilo jedwali ulobandika hapo juu.Kwenye hiyo section ya Cambridge inaonyesha ni a work in progress.Sasa labda ungemwuliza kama hiyo degree ni ya online since yuko tz.Naona unataka kulazimish vitu kwa mapenzi yako, Lema hayumo kwenye orodha ya wanafunzi waliosoma Cambridge, hiyo ya kusoma online sijui umeipata wapi.
Weka basi huo ushahidi tuone hiyo online diploma/degree, bora Mrema tuliona degree yako.
Kwa hiyo unatuambia Lema bado yupo kwenye masomo.
Kwa habari nilizozipata lema alizaliwa 1963 amepunguza miaka
Kama umesoma online sawa kwa hiyo mmesoma wote na Lema online?
Baada ya kumaliza A level uliishia hapo hapo au uliendelea na shule?
BTW inawezekana wewe umesoma kwa MITAHARA kama hapo kwa red, na mwenzio Lema hakusoma kwa MITAHARA.
FYI: MITAHARA ni spesheli kwa MATAAHIRA.
Mkuu kuweka CV ya Lema ndiyo kumchafua.
Unataka kujua kama niliendelea baada A-Level sidhani kama ni muhimu sana ila kwa faida yako niliendelea na chuo mwaka 1998 nikisoma lugha kwa mwaka 1 na nusu 1999 mpaka 2003 degree na 2005 mpaka 2007 master. Je umeridhika? Asante kwa kuniita taahira mungu akubariki.
Kwa hiyo toka 1963 hadi alipoanza darasa la kwanza 1983 alianza akiwa na miaka 20?Kwa habari nilizozipata lema alizaliwa 1963 amepunguza miaka
Nyie Chadema msiwe ndumilakuwili CV ya ovyo hivi ingekuwa ya waheshimiwa wengine ungesikia kashfa zenu. Sasa tunaelewa kwa nini Lema yuko kama alivyo. Ni mtu wa hovyo sana. Lakini wafuasi wa Chadema ni watu wa ajabu. Tunamuongelea Lema katika nafasi ya ubunge sasa matusi ya baba zetu majumbani kwetu yanakujaje hapa? Lakini mbaya zaidi Lema ameifanyia nini Arusha tangu aingie madarakani? Mbona kama Arusha inarudi nyuma kiuchumi? Hiyo ndiyo siasa tunayoitaka sidhani. Let us call a spade a spade not otherwise. Thank you.
Swala hapa ni udanganyifu ndio anachoongelea RITZ haijalishi kama CV ndogo au kubwa.
Eti Lema kasoma Degree UK lakini akumaliza, teh teh teh siasa hizi.