Wasifu wa Godbless Jonathan Lema


Ritz njooo huku ujionee mkuu, na wako wengi wa aina hii!!! Na ya yule dada yetu wa viti maalum ambaye inasemekana chuo hakuweza na cheti anacho alikipata wapi? Pamoja na hayo, eti akikuwa mtumishi wa benki maarufu na sasa ni mbunge wa madeal!!!
 
Wadau tunaomba wekeni cv ya mzee wa visiwa vya zimbabwe na pemba, maana kama ni uwongo magambani ndo umelala!
 

This is only applicable in tanzania politics not else where
 
HATUHITAJI CV YA MTU TUNAHITAJI UCHAPAKAZI WAKE, baba yako anaCV nzuri amefanyia nini taifa??? Tuandikie tuone CV yake na kazi kafanya kwa taifa hapo tunaweza jadili, vinginevyo huna cha maana, kazi ni kwako

Nami naomba CV ya Anne Makinda, mama Salma na Ole Sendeka
 
Kama umesoma online sawa kwa hiyo mmesoma wote na Lema online?

Lakini sio mbaya sana na wewe umepata fursa ya kujifunza vitu ambavyo hukuwahi kuvijua hapo mwanzo.Nakumbuka hata Wamarekani walikuwa na Chuo chao hapa Dar es salaam maeneo ya Posta Mpya.Walikuwa wanafundisha kwa kutumia CURRICULUM ya kwao.Vyuo vya Nchi nyingi Duniani hutumia utaratibu wa Distance Learning au Online Studying kuwafikia watu wengi zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia ya habari ambayo imechangia sana kurahisisha utoaji wa huduma kama hizi elimu.Kupitia Distance Learning unaweza kupata Diploma au Degree yako ndani ya muda mfupi sana.
 
Kitu gani sikuwa nakijua, wakati mimi ndiyo nimeweka link ya Cambridge International College.

Nimesoma habari za Cambridge College ndiyo maana nimeandika huu uzi.

Labda tufahamishe wewe Lema alipateje hiyo diploma na alisomaje hiyo degree ambayo hakumaliza tuwekee na ushahidi.
 
Serikali sikivu
 
Tanzania kuna watu wa Ajabu sana ifikie mahali tuangalie mtu amelifanyia nn taifa hili kuna maprofessor lakini ni useless hawana mchango wowote ktk taifa hili kuna kijana mmoja ninamfahamu ana Masters ya MZUMBE (MU) lakini hana uwezo wa kujenga hoja ww unatuandikia cv ya lema imejaa uwongo sisi hatuangalii uongo au ukubwa wa cv tunaangalia utendaji wa kazi na sio ukubwa wa cv mbona kuna wazee wana cv kubwa lakini wanaishia kulala bungeni KAMANDA LEMA PIGA KAZI USIBABAISHWE NA MANENO YA HAWA MAMLUKI WANATAKIWA KUJUA SIO LAZIMA UWE PROFESA NDO WATU WATAMBUE MCHANGO WAKO NARUDIA TENA TUNAO MAPROFESA LAKINI NI USELESS KWA WATANZANIA INAELEKEA WAMESHINDWA KUJUA NI WAPI PA KUSHIKA MAANA KILA KONA CDM WANAWASHA MOTO SASA WANAISHIA KUATACK MTU BINAFSI BRAVO LEMA PIGA KAZI PEPOOZZZZZZZZZZZZZZ..............
 

Kwako kiongozi akiwa muongo siyo tatizo?
 
Tehe tehe ushabeki mandazi mwingine. Mnapenda kuvalia njuga ya CCM na cv zao leo wameweka ya Jembe la CDM watu wanawaka kama moto wa kifuu!! Ndiyo bathi tenaaaaaaa elimu hana
 
Elimu ni muhimu kwa kiongozi, elimu anamfanya kiongozi kuwa na upeo na ufahamu.

Upeo na ufahamu havipatikani darasani pekee! unaweza kupata upeo na ufahamu kwa kusoma mwenyewe mambo mbalimbali,Upeo na ufahamu vingekuwa vinapatikana darasani pekee basi Baba Ritz angekuwa nondo! sasa mbona ni vise versa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…