Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

1995-1976 = 19

Ina maana God bless Lema aligombea ubunge akiwa na miaka 19? Mwaka 1995
 
Lema alitoa hoja kwa kamati kuu kuwafukuza Naibu Katibu Mkuu Zanzibara na Bara kwa kosa walilofanya WAKE zao. Anajenga hoja kwamba wake zao ni among those Covid 19, anasema hao viongozi wanashirikiana na wake zao kula hela haramu - so wafukuzwe uongozi - hoja hii ikapewa support na Msigwa, Lissu, Heche.

Swali kwake - endapo mkewe akikamatwa na kosa lolote la kisheria na yeye Lema aunganishwe sababu wanalala kitanda kimoja?
Huu si udhaliklshaji wa wanawake, kwamba makosa yao yote basi yaunganishwe na waume zao?
 
Lema alitoa hojankwa kamati kuu kiwafukuza Naibu Katibu Mkuu zanzibara na bara kwa kosa walilofanya WAKE zao. Anajenga hojankwamba wake zao ni among Covid 19, anasema hao viongozi wanashirikiana na wake zao kula hela haramu - so wafukuzwe uongozi - hoja hii ikapewa support na Msigwa, Lissu, Heche.

Swali kwake - endapo mkewe akikamatwa na kosa lolote la kisheria na yeye Lema aunganishwe sababu wanalala kitanda kimoja?
Huu si udhaliklshaji wa wanawake, kwamba makosa yao yote yaunganishwe na waume zao? Sababu wao hawawezi kushitakiwa peke yao bila waume zao.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sikutegemea maishani mwangu kuja kuona makada wa chadema wakiandika mashudu haya dhidi ya Lema. Press moja tu ya Lema dhidi ya Dj imeamsha sukari na vifaduro kama vyote kwa wafuasi wa dj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…