Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Lema alitoa hoja kwa kamati kuu kuwafukuza Naibu Katibu Mkuu Zanzibara na Bara kwa kosa walilofanya WAKE zao. Anajenga hoja kwamba wake zao ni among those Covid 19, anasema hao viongozi wanashirikiana na wake zao kula hela haramu - so wafukuzwe uongozi - hoja hii ikapewa support na Msigwa, Lissu, Heche.

Swali kwake - endapo mkewe akikamatwa na kosa lolote la kisheria na yeye Lema aunganishwe sababu wanalala kitanda kimoja?
Huu si udhaliklshaji wa wanawake, kwamba makosa yao yote basi yaunganishwe na waume zao?
 
Lema alitoa hojankwa kamati kuu kiwafukuza Naibu Katibu Mkuu zanzibara na bara kwa kosa walilofanya WAKE zao. Anajenga hojankwamba wake zao ni among Covid 19, anasema hao viongozi wanashirikiana na wake zao kula hela haramu - so wafukuzwe uongozi - hoja hii ikapewa support na Msigwa, Lissu, Heche.

Swali kwake - endapo mkewe akikamatwa na kosa lolote la kisheria na yeye Lema aunganishwe sababu wanalala kitanda kimoja?
Huu si udhaliklshaji wa wanawake, kwamba makosa yao yote yaunganishwe na waume zao? Sababu wao hawawezi kushitakiwa peke yao bila waume zao.
 
Heshima sana wanajamvi,

Leo ningependa tumjadili Lema kama Mwanasiasa, Mfanyabiashara na Mtu aliyeshika dini (Mlokole)

====

Mwaka 1995 Lema aligombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia NCCR-Mageuzi, Mshindani wake mkuu alikuwa Mh. Mrema (Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serekali). Katika uchaguzi huo Godbless Lema alimshinda Mrema lakini katika hali ya kustaajabisha Lema aliuza UBUNGE wake kwa kupewa viwanja Njiro na fedha nyingi.

Mwaka 2000, Lema alirudia mchezo ule ule wa kuuza UBUNGE ingawa alipata misukosuko mingi kutoka kwa wana NCCR-Mageuzi. Lema ni mjanja sana, aliwadanganya wanachama kwamba angefungua kesi kumbe ilikuwa njama za kuwazubaisha wanachama ambao walianza kumchoka.

Mwaka 2005 aligombea Ubunge tena kupitia CHADEMA, alitaka tena kuuza UBUNGE lakini safari hii kina Mbowe na Marehemu Ndesamburo waliingilia kati na kuhakikisha anapata Ubunge ambao alishaupata mara mbili.

Lema aliwahi kumuuza Mawazo Nelson CCM kabla ya kumrejesha kupitia michezo yake kupiga hela kirahisi rahisi.

Lema kwa kutumia nafasi yake ya ubunge na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, alijijenga mwenyewe kisiasa na kiuchumi. Wanasiasa wote waliojaribu kuwa zaidi yake alihakikisha anawayumbisha au kuwafukuza.

Lema hana nguvu wala ushawishi wa kisiasa Arusha kama ilivyokuwa siku za nyuma. Uchaguzi ndani ya chama ulimshinda na akakimbia.

Lema hawezi kugombea ubunge Arusha kwakuwa hawezi kupitishwa na chama chake tena labda Lissu ashinde na apitishwe kupitia mlango wa nyuma.

Lema ni mlokole mjanja mjanja. Kwa asili Lema ni Mlutheri kupitia madhehebu ya kilokole alianzisha ministry (jina nimelisahau) lakini tamaa ya kujipatia fedha haraka haraka ilimfarakanisha na wafadhili.

Biashara za madini ya Tanzanite alizifanya sana na utapeli wa kuuza vipande vya chupa kama Tanzanite kaifanya sana. Deal za wizi magari kazipiga sana wakati anaingia Jijini Arusha ndio ilikuwa biashara yake ya mwanzo akishirikiana na wezi maarufu “Chonjo gang”.

Ngongo, kwasasa Karatu.
 
Sikutegemea maishani mwangu kuja kuona makada wa chadema wakiandika mashudu haya dhidi ya Lema. Press moja tu ya Lema dhidi ya Dj imeamsha sukari na vifaduro kama vyote kwa wafuasi wa dj.
 
Back
Top Bottom